Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nataka kuzeeka kama zari
Yan humu nimegundua watu baadhi ya wanawake wana envy maisha ya zari maana mpaka kukumbushiana habari za 2017 kweli zari kiboko. Nikiwa mkubwa nataka niwe kama zari [emoji4][emoji4][emoji4]
Miss POWER OF NYAU a.k.a cha uwongo ni mfa maji tu haishi kutapa tapa.