Tetesi: Zari anasa mimba nyingine, Diamond amshawishi aichomoe

Tetesi: Zari anasa mimba nyingine, Diamond amshawishi aichomoe

dah
ila zari ni mzuri.. mzuri sana huyu mganda..

akae tu 255 azidi kutuongezea wa255
 
Pale watu wanapojua mpaka siri za ndani mwa watu. Ulimpima huo ujauzito ??
 
Hawa hawa global wadaku waliokosa habari na kuishia kutunga ai walisema D hazai sasa imekuwaje...wana kazi haswa na ni vizuri kwa D na Z aka the Simbazzzzzz
 
Ati wazaz pande zote mbili waliwekwa kikao kusisitiza atoe mimba!!wazaz wa wapi hawa?
 
Nafikiri kuna kimeo(nyimbo) anataka kutoa, kwahiyo hizi ni kick kuipush hiyo upcoming Hit
 
hapo kwenye kuitoa ndio uongo ulipo
 
Kama anamwambia aitoe zitakuwa hazimtoshi. Amwache mrembo asiyechuja ashushe kitu kingine.
 
Hahahahahaha mweeee!!!! Erick shigongo at work!!!wazazi na kikao cha kutoa mimba!!!?????
 
Yaan kama ni kweli anamshawish huyo bibi atoe mimba nitaona kweli mondi mburulazzzz si alikuwa anatamba kuwa zari yuko tayar kumzalia watoto wengi sasa iweje tena amshawishi kuitoa hiyo ngazi ifuatayo
 
Zari hajawahi kutoa mimba hivyo hajawahi kuua kama wengine wamwache aizalie dunia, hii mashine ya kiganda ni ya ukweli
 
Back
Top Bottom