koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Phd gani hajui madhara yatakayompata Tiffah labda kama ni Phd ya ujingaYeye ana PhD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phd gani hajui madhara yatakayompata Tiffah labda kama ni Phd ya ujingaYeye ana PhD
Mi ndo nimeshangaa sana , mtu utapandaje bila condoms na kusia kisha mazao yanaota halafu unabaki kujishangaa. Tatizo la usanii ni kupenda bata zaidiKumbe huyo diamond ni pimbi kiasi hicho.Utamlazimishaje mamsapu atoe mimba.Hovyo kabisa,haijalishi mtoto wao wa kwanza ana umri gani.
Tupe ukweliuongo mtupu
Si wamesema ina miezi minne now.Hesabu kweli mama mkwe.
Kama alizaa mtoto miezi nane ilopita na sasa kaikwaa mimba sasa kuzaa si baada ya miezi tisa uyo wa kwanza atakuwa na miezi 17 yaani mwaka na miezi mitano almost nusu.
Kamua Diamond ingawa watoto wakipishana miaka miwili ndo shega
ndo ajira yake hiyo,hahahhaha halafu anazaa na watu ambao pesa imekubali,chezea Zari wewe
Jaman, nilie au nicheke?????, watu wambea hadi wanajisahau walichoongeaAti wazaz pande zote mbili waliwekwa kikao kusisitiza atoe mimba!!wazaz wa wapi hawa?
Acha tu..Global wanajua sana kuongeza chumvi Mradi tu wauze!Jaman, nilie au nicheke?????, watu wambea hadi wanajisahau walichoongea
kwanini?Bora isiwe kweli.!
Wema ataumia zaidi.!kwanini?
Kwa vyovyote vile hii siri atakuwa kaitoa yule yule Hamonawizer tu.