Tetesi: Zari anasa mimba nyingine, Diamond amshawishi aichomoe

Tetesi: Zari anasa mimba nyingine, Diamond amshawishi aichomoe

Hii habari imesukwaaaaaaaaaaaaa
Issue za kuchoropoa ni uzushi uliopitiliza cuz' suala la ujauzito nililifahamu b4 BET Nomination na kama kungekuwa na suala la sintofahamu kati yao basi wala nisingefahamu kwa huo wakati kv issue ilikuwa haijatoka nje! Na mbeya mwenyewe alikuwa very excited na hiyo mimba na ni part of inner circle... delivered message kwangu ilikuwa ni kwamba Dangote is excited too!
 
kijana mdogo unase kwa mama alitoka kwenye ndoa kutoka ni issue mbinu zote anazo.
 
Issue za kuchoropoa ni uzushi uliopitiliza cuz' suala la ujauzito nililifahamu b4 BET Nomination na kama kungekuwa na suala la sintofahamu kati yao basi wala nisingefahamu kwa huo wakati kv issue ilikuwa haijatoka nje! Na mbeya mwenyewe alikuwa very excited na hiyo mimba na ni part of inner circle... delivered message kwangu ilikuwa ni kwamba Dangote is excited too!
Asante kwa ufafanuzi maana watu wanajiropokea tu, am excited too! Baby boy loading.......
 
Kick za kibongo hizi sijui zitaisha lini isipo kuwa updated kwa media unapotea hahahha

So wengi deal imekuwa mahusiano na mibibi

Hivi hakuna vitu vingne vya kufanya ili ujulikane?

Kama music wako mzuri huwezi kutoka mpaka ujizalilishe na mibibi ?

Huwezi fanya shughuli za kijamii ukajulikana au ndo uwezo wa kufikiri Mdogo kwa wasani wetu ?

Ni kaupumbavuuu fulani kwa sani wa Bongo [emoji15] [emoji15]
Kazi unayo...
 
Diomond aache kabisa na kuchezea ukuu wa mungu. Swala la mtu kuzaa ni mpango wa mungu na kama kweli anayo nia ya kushiriki kitendo hicho cha kutoa mimba atambuwe anafanya mauaji sawa na mtu mwingine yeyote na mungu atakwenda kumwadhibu adhabu ambayo litakuwa pigo kubwa hajawahi kuona. Anwache Zari azae huo ni mpango wa mungu.
 
Ningempata mimi mwanamke aina ya Zari wa kuwa tayari kubeba ujauzito ndani ya miezi 8 toka mtoto wa kwanza huku uwezo ninao kama Diomond yaani ningepiga watoto mfalme Mswati cha mtoto. Wanawake aina ya Zari leo hii ni wachache. Hivi huyu Diomond anataka mungu ampe gunia la chawa. Pumbavu kabisa.
 
Asante kwa ufafanuzi maana watu wanajiropokea tu, am excited too! Baby boy loading.......
And I admire Zari... ni mwanamke wa kisasa ambae kv alivyo ingekuwa ndo hawa wengine basi ingekuwa ni full kuchoropoa so as to maintain the beauty! Mosi, Zari amekuwa darasa kwa wanawake wenzake kwamba you can still be beautiful hata kama una mahaba na labor! Wapo wanaoamini kwamba anachukulia kuzaa kama uchumi huku wakisahau you don't need several children kujihakikishia some ownership ya kile alichonacho mwanaume but even one child is enough!
 
inasemekana chanzo ni kutoka kwa snitch mzuri mzuri pale madale anaepiga gym now baada ya kuacha madawa eti
 
Kumbe huyo diamond ni pimbi kiasi hicho.Utamlazimishaje mamsapu atoe mimba.Hovyo kabisa,haijalishi mtoto wao wa kwanza ana umri gani.
 
Mh! Nayeye mayai yake yapo karibu karibu kama ya hausi geli...anyway hongera zake chibu inaonesha ni jinsi gani usiku halali.
 
Kick za kibongo hizi sijui zitaisha lini isipo kuwa updated kwa media unapotea hahahha

So wengi deal imekuwa mahusiano na mibibi

Hivi hakuna vitu vingne vya kufanya ili ujulikane?

Kama music wako mzuri huwezi kutoka mpaka ujizalilishe na mibibi ?

Huwezi fanya shughuli za kijamii ukajulikana au ndo uwezo wa kufikiri Mdogo kwa wasani wetu ?

Ni kaupumbavuuu fulani kwa sani wa Bongo [emoji15] [emoji15]
Mwenzio katoa dawati 700 wewe hela ya mshikaki wa utumbo tu inakupiga chenga
 
Katika Ubora Wenu................!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ila Zari ni mzuri bhana nsshindwaga kuamini huyu dada ana watoto watatu mpaka sasa ........kama Kourtney Kardashian vile
 
hivi Zari kiwango chake cha elimu ni level gani?
 
Back
Top Bottom