Zari Arusha Dongo gizani

Inauma jamani, afu ukute mwanamke anafanana kimalay* malay* [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


Wivu utakuua.....kula ugali wako ukalale tu. Wema ndiyo wa kumshindanisha na Zari kweli?
 
Wivu utakuua.....kula ugali wako ukalale tu. Wema ndiyo wa kumshindanisha na Zari kweli?
Sjamtaja wema mm .....kwanza hawafani wema ni kijana na hajazaa so hawafanani
Hiyo video umeiona? Umemuona alvo kigagula?
 
Mswahili mwenzetu Diamond ndo ameandika ivo kwa kutumia simu ya Zari.. Huyo Zari hata neno Nyaku alijui
 
Angekuwa mwanamke wa maana si angepata ndoa huyo ni malaya tu kaopolewa
 
Haahaahaa, eti nyaku wasubiri, huyu bibie ingekuwa family anaiweza ndoa ingemshinda?! Hawezi ku handle mume anategemea uzuri wake, anajidanganya tu aende akafundwe ili ajue mume anahitaji nini, wala hata kuwa na hisia kuwa kuna nyaku anaweza kunyakua kitu yake., achilia mbali kuamini kuwa itafika nyaku time aachwe mwenyewe na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…