Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan ichi kikongwe kabisa we ndo unamuona mzur wkt anambemenda kijana mwenzetu wa tz
Tatizo unaangalia picha zake yani zmepigwa pic100 af inachukuliwa1 lzma umuone mzur
Bongo kna watt wazur zaid yake ye nwenyewe anajua ndo maana anajistukia
M ni mwqnaume so sfanani na zari
Simchukii cs haniusu lkn ni mon'go kama ma mon'go wengine tuu
Ila huu n mtazamo wangu tuu[emoji116] [emoji116]
Sjamtaja wema mm .....kwanza hawafani wema ni kijana na hajazaa so hawafananiWivu utakuua.....kula ugali wako ukalale tu. Wema ndiyo wa kumshindanisha na Zari kweli?
Zari awatupia dongo wabaya wake, akiwananga vimada wa mzazi mwenzie, diamond platnums na kuwaambia its familia time hivyo hawana nafasi kwa sasa![]()
Sjamtaja wema mm .....kwanza hawafani wema ni kijana na hajazaa so hawafanani
Hiyo video umeiona? Umemuona alvo kigagula?