Zari ateswa na picha ya Katunzi

Zari ateswa na picha ya Katunzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MCHUMBA wa Mbongo Fleva , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ , Zarina Hassan ‘ Zari ’ amedaiwa kuangua kilio baada ya kuvuja kwa picha yake na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Mzamili Katunzi ambayo ilidaiwa kuwa ni mtu wake na kusababisha gumzo mjini .

Mtu wa karibu na Zari amefunguka kuwa Zari alijisikia vibaya sana baada ya kuona picha hiyo na kukasirika hivyo kuanza kuwasaka watu walioivujisha kwani walikuwa na nia mbaya ya kumgombanisha lakini wamechemka.
“Zari kamaindi kweli , anajiuliza huyo aliyeivujisha alikuwa na lengo gani ?” alisema mtu huyo .
Supastaa Nasibu Abdul ‘ Diamond
Jitihada za kuzungumza na Zari hazikuzaa matunda lakini bahati nzuri Diamond alipatikana na kufafanua :
“Ni kweli zimemsumbua baby lakini nimemuweka sawa kwa kuwa najua ni mambo ya mitandao , hakuna ukweli wowote .”
 
Attachments

  • 1432464343857.jpg
    1432464343857.jpg
    21.6 KB · Views: 3,415
Sasa picha za mtandaoni lakini ka mind. Watajiju na majanga yao
 
Sasa picha za mtandaoni lakini ka mind. Watajiju na majanga yao

Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane
 
Picha ngap zinarushwa mbona hamaind? Kuna kitu, halafu huy zari bado anampenda mumewe nimemsikia juzi kwa sporah anavyomsifia mhh, ndomi ajiandae kuachwa mjane

Lazima amsifie ili kikibuma huku arudi kwa hubby wake. Bi Zarina ni mjanja kuliko nyoka huko aliko ni part time tu. Kwa Ivan ndo kafika mana alimtag kumu kubali kuwa ni best daddy.
 
Lazima amsifie ili kikibuma huku arudi kwa hubby wake. Bi Zarina ni mjanja kuliko nyoka huko aliko ni part time tu. Kwa Ivan ndo kafika mana alimtag kumu kubali kuwa ni best daddy.

Niliona mwenzangu, ila mzazi mwenzie so kawaida, yeye mwenyewe alisema uwa wanafanya bishara pamoja na uwa wanasalimiana tu
 
Nyie akina mnally mtaishia kusema tu mmepigia zari mara hapatikani mara simu yake iliita bila kupokelewa kama kawaida yenu, zari hana muda wa kuongea na taka taka kama nyinyi, nyie endeleen kumpigia huyo huyo mama ubaya zari sio type yenu

Sasahivi mapaparazi washaacha kuhangaika na hilo li mama lenye mpapa mkubwa east africa nzima. Kila nchi kapigwa miti. Afadhali ya wema yeye anagongwa tuu uwanja wa nyumbani hilo li papa na nguru linapigwa Home and Away
 
Nyie akina mnally mtaishia kusema tu mmepigia zari mara hapatikani mara simu yake iliita bila kupokelewa kama kawaida yenu, zari hana muda wa kuongea na taka taka kama nyinyi, nyie endeleen kumpigia huyo huyo mama ubaya zari sio type yenu

Duuuuh! Yaan ! Mama ulaya alikufanya nini? Mbona topic hapa ni zari sasa huyo kaingiaje?
 
Hivi DNA inaonesha jinsia ya mtoto mana nilimsikia dai bbc eti wamepima dna mtoto ni wa kike
 
Back
Top Bottom