Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

The good thing ni kwamba Diamond ataendelea kula mzigo, cause through my fuc**ng experience mwanamke uliyezaa nae HANA ujanja wa kukunyima gegedo
Na Mond kapata uhuru flani amazing. .[emoji38] [emoji38]
 
Kwa muda waliokaa pamoja ni ndoa tayari kisheria.

Hata wewe mwanamume akikuchukua mkaishi wote kwake baada ya miaka kama miwili hio ni ndoa tayari na una hak ya kudai stahiki zako endapo utasumbuliwa na huyu mwenza wako

Sheri za wp lini wameishi pamoja hata mwaka mwezi hawajawahi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Happy for her afadhali sasa lile zipu mbovu afe mwenyewe na umalaya wake kile kibibi kimchekee tu mtoto wake kwa ufuska wake tunasubiri ushangiliaji haya wema danga lako hiloo mpira umerudi kwa kipa tutusa uwezavo
Mmh mbona kama povu..na ww pia ni mwathirika wa hili tukio?
 
Kijana bado mbichi ana pesa ya mboga,ukae Africa kusini yeye akae Madale khaa! Damu yake bado inachemka.
 
Hivi uhawala ni wa muda gani? nilisikiaga ukishakaa na mwanamume zaidi ya miezi 6 ni mumeo kisheria.

Wp walikaa miezi 6 [emoji23][emoji23] ila inazungumzwa kulala na kuamka kwa uwo muda... wewe Leo uishi na demu au mwanaume mwaka then muachane uwende mahakamani useme uyu mke wangu au mume wangu nataka mali utachekwa na ulimwengu
 
Kuna muda unaweza ukawa unampenda mtu sana, ila it reach a time when
you get tired of chasing him, making peace with him... trying to fix everything
then unaamua kujiondoa kwenye hiyo equation taratibu, mimi nimemuelewa sana
I feel Diamond kampoteza a very good woman. Ngoja aendelee kukimbizana na kina Mobeto
 
Wp walikaa miezi 6 [emoji23][emoji23] ila inazungumzwa kulala na kuamka kwa uwo muda... wewe Leo uishi na demu au mwanaume mwaka then muachane uwende mahakamani useme uyu mke wangu au mume wangu nataka mali utachekwa na ulimwengu

Wala huwezi kuchekwa. Watu tu ni wavivu kusoma vifungu vya sheria. Unaweza kula bingo ukikomaa katika kesi kama hii
 
Hana ubavu wa kumwacha Chibu yeye alibugi pale pale penzi lilipokuwa kwake angeng'ang'ania wafunge ndoa kwanza kabla ya yote hapo ndo kabugi. Na akifanikiwa ndoa drama zitakwisha.
Ndo mana mnang'ang'aniaga ndoa, ..yani utake ndoa na mwanaumd hakupendi?ili uje kuleta uzi au
 
Back
Top Bottom