Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Sheri za wp lini wameishi pamoja hata mwaka mwezi hawajawahi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuishi pamoja sio lazima kulala na kuamka chumba kimoja kwa muda huo. Ile hali ya kuwa wote kama mke na mume na kuzaa pamoja na kufanya mambo pamoja inatosha. Umbali wao ulitokana na kazi na shughuli wanazofanya. Hawa wanahesabika waliishi pamoja.
 
Sasa ni wakati wa kugawana Mali

Mond sifa zake zitamdondosha sana
Ndo hiki nilichosema awali, Zari plan hiyo Alikua nayo muda tu .kangoja the right time.
Sasa hapa dogo ajiangalie South asihesabu kitu aliacha ,na mwanamke kasema wataendelea kulea watoto.
Kwa hiyo huduma endelevu kwa watoto jamaa atatoa apende asipende.
 
Mm kama kijana mwenzake na Mond ..nampa ushauri wa bureeee, ni wakati wa kutumia ndomu sasa.
Awe makini na maisha ya badae kazaa zaa sio sifa nzuri tena bila mpangilio.
 
Back
Top Bottom