Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Nikuulize hivi ni nin kinasababishaga hio hali?,ukiwa na dem k za kumwaga ukishatemana na dem tuu k zinakuwa za kutafuta kwa manati,mm huwa nahisi unapokuwa kwenye mahusiano kuna kiharufu unakuwa nacho hivyo kuwavutia warembo,embu tueleze hivi huwa unafikiri ni nin hasa kinasababisha?...
haahaaa hii nikweli aiseeee
 
Teh nlikua naisubiri hii siku, diamond anajikuta diamond kweli ilmradi fujo..... Bora kaachwa awe free sasa cha ajabu utashangaa yupo free hadi K zinakua za manati akiwa na mtu anapata mafuriko ya K.
hii ni kweli ukiwa na k bas k nyingine zinafurika lakin ukipiga chin k ,k zinakuw adim.k huwa zinavuta k wenzako.
tusigombanie k huu ni urithi wa kwetu inawezekana pekupeku o na viatu.
 
Kwa walio ishi na wanawake kwa hiki alicho kifanya Zari ni sahihi...CHIBU ameshindwa kuweka mambo yake siri..Anacho kifanya Chibu ni mambo yake lakini pia ni kumkosea heshima Mama watoto wa watoto wake ingali anajua yupo kwenye mahusiano nae..KWANGU mimi zari naona ni mwanamke ambaye kwa wanaume wengine kama sisi tunatamani kupata kama yeye...mpaka hapo kwa ninavyo wanawake mpaka hapa zari amevulia sana

Naona Kabisa Diamond hawezi kuja kumpata mwanamke kama zari kwa hii dunia yetu ya sasa.
 
Atapata wadangaji tu ambao hata akiwaita kuja kupaka K lazma atume nauli au boda 😀😀😀
 
Back
Top Bottom