ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Mwanamke mzuri huwa anabeba vipaji vingi sana!Ni mjanjaaaa ataitafuta nyingine... au atarudia matapishi ya Wema😛😛
Ule uzuri wa asili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke mzuri huwa anabeba vipaji vingi sana!Ni mjanjaaaa ataitafuta nyingine... au atarudia matapishi ya Wema😛😛
Sheri za wp lini wameishi pamoja hata mwaka mwezi hawajawahi [emoji23][emoji23][emoji23]
Alivoachana na wema mlisemaje?Nyota ya Nasibu imeondoka!
I second your opinion mkuu... 100%Yote ni sehemu ya maisha..life is full of choices..wanaume tuna matatizo sana..mara nyingi wanawake ni wavumilivu
Ndo hiki nilichosema awali, Zari plan hiyo Alikua nayo muda tu .kangoja the right time.Sasa ni wakati wa kugawana Mali
Mond sifa zake zitamdondosha sana
mkuu hata kama maamuzi unayoyachukua yatakuja kuku cost au !!?Mi nadhani kila mtu ana uhuru na hisia zake...mtu ukiona hapafai sepa...maisha yanahitaji maamuzi
Nilitaka kushangaa wenye fani zenu msitie neno hapa.Diamond mwaka wake huu. Kila kona vibuti. Kuanzia kwenye media mpaka kwenye mapenzi.
Hahaaaa watarudi kwenye vigodoro!Asee imekula kwao daah...so sad kwakweli
Mama dangote one month south Africa!!!kafanya yakeHa ha ha
Hamisa Mobetto Mganga wake mkali
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nadhan ni wakati wa Tunda na yeye kujaribu bahati yake
Ila tu kuachwa diamond mwenyeww nmefurahi sana yani roho inaelea 😀😀😀Mange naona atafanya Sherrie, Ila mwenzie ako vzuri , yeye mpaka atukane ndo apate pesa
Yaan mimi Nataka dai amuoe Missa au mtzAnye maboga kabisa na atapike mafenesi[emoji23]
Kigoma hatoki boiMama dangote one month south Africa!!!kafanya yake