Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

I do appreciate wanawake woteee dunuani walio "Independent" kichwan,kiakili nakimwili kama alivyo zari !!.

Hawa ndio wanawake wachache ambao kwao HESHIMA ndo muhimu , ndio wanawake ambao Hawaendeshwi 'Mashine'.

Unakuta demu ,kwanza mume wake malayaaaa ,+anamtesa LAKINI anakuambia hata uniue sitoki hahahahah .nahii nisababu ya kua Tegemezi na kua muoga Wa maisha.

Hongera sana Zari
Hongera sana Zamaradi

Kumbe hawa wanawake wanaoanza majina yao na Z ,wanaakili mbaya ,ni independent sana ...kasoro akina Zubeda Wa Prof J.
 
I smelled this before if real it is! Kwa uroho na ujana wa Diamond ni vigumu kuishi na bibi mmoja bila kucheat. Zari pia ana moyo wa nyama, anaumia!!!
Wewe tabia ya kucheat siyo ya Mondi peke yake,hyo ni hulka ya wanaume wengi awe maskini,uwezo wa kati ama tajiri!!Mumuache Mondi, kwanza mwanaume uliyekamilika unawezaje kula mwanamke mmoja maisha yako yote!?halafu sasa watoto wenyewe wakike wanavotutega na walivyo wazuri kuliko mama zao unaachaje kucheat!!mumuache Mondi bana!
 
Jamaa malaya sana..kitanda hicho hicho wanakuja kulala wanawake wengine wa kipuuzi
Kuwa superstar kuna changamoto zake vbbgfg zinajileta usipokuwa makini utageuka hivyo.

Diamond yupo kwenye age ya kuruka, Zari yeye yupo kwenye age ya kutulia na kufarijiana You can guess the qoncequence...

Kwangu nadhani tutamwita jamaa malaya kwasababu anajulikana kutuzidi... ila kuwa side vbbgfg lipo saana mitaani...

Sipo vizuri kufuatlia maisha ya wasanii ila mahusiano mengi yanakuwa rooted na kazi.. na ya Mond naweza kuyaweka asilimia kubwa yalikuwepo kwasababu ya kazi zao na si upendo.
 
100% she is really a beautiful woman , pretty and awesome !!.

Kinachonifanya nimuelewe zaidiiiiiiii niuwezo wake Wa kiakili , and am amazed at how she handle stress am also amazed at how cute she is !!.

Chaaaaa Kila nikimuona zari.... Namfikiria Mima white cute [emoji122] [emoji122] [emoji123] !!.
View attachment 695821 Uzuri na tabia yake atafika mbali sana huyu mama!
Beauty is power, alafu she is smart, lethal combination of success and beyond!
YAANI NI MZURI SANA HUYU MWANAMKE TUACHE UTANI JAMANI!
May the Almighty Creators grant you peace!
 
Back
Top Bottom