Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Yaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake

Embu acha hizo
Ivan na Zari waliachana kwa yao.. Zari hakuwa na Ivan kwa muda wakati anakutana na Dee.

Sema Ivan alimpenda ila tabia zake hakubadilika.. drama nyingi zilitokea kwao.. na ndio maana alimuheshimu hadi kifo ķwa kujua thamani aliyokiwa nayo Zari kwake.. na juu ya yote kumuachia biz zote hata walizoanzisha pamoja za Colleges.

Zaidi kagugo usome.. alimpa nafasi akarudi kwa mumewe ila ndio yakawa yale yaleeeeee
 
Eti kamuacha ,,diamond alimuacha zamani tu zari Ndio maana vituko haviishii ,,,bora tu we mganda
Kwa taarifa yako "Mwanamke mzuri" HAACHWI, mwanamke mzuri anakuaga na tabia ya kumuacha MTU na maisha yake ili mradi yeye alinde heshima yake .
17ce8d0779394cd4a8c99665900385c5.jpg
sasa tuache unafiki, we nimwanamke najua ningumu mwanamke kumkubali mwanamke mwenzake tena wakiwa wamepishana.

Kwa kumtizama hapa pichani,, Zari unamwonaje ??? .

Kama nimzur basi ukubali kua Kamuacha , zari nimwanamke Makini mnooo alafu ni independent sana ,uyu demu hata asingekua na maisha , bado angesingekua anapelekeshwa na chini.
 
Daby Nakubaliana na WEWE KUWA, KUCHEAT KWA MWANAUME SIYO JAMBO LA AJABU NA WAPO WANAUME VIWEMBE KULIKO DIAMOND NA PIA DIAMOND INAVUMA KWA SABABU NI MTU MAARUFU

LAKINI...

UNAPOKUWA MAARUFU MAANA YAKE WEWE NI PUBLIC FIGURE, HVYO NI MUHMU UISHI KAMA KIOO CHA JAMII NA KUWA MTU WA MFANO.

KAMA ALISHNDWA KUJIZUIA BASI ANGECHEPUKA KWA STAHA ILI KULINDA HESHMA YA MKEWE IKIWEMO

1. KUEPUKA KUZAA NJE
2. KUTOGEUZA NYUMBA WANAYOISH NA MKEWE GUEST HOUSE

HATA WEWE Daby HAKUNA KTU KIBAYA KAMA KUJUA MKEO ANACHEPUKA KWENYE KTANDA MNACHOLALIA SKU ZOTE..


MFANO: UHUSIANO WA NAHREAL NA HAIKA, NI UHUSIANO WA MFANO, INAWEZEKANA NAHREAL ANA MADEMU WENGNE LAKN ANALINDA HESHMA YA MKEWE.. SASA HUYU MOND YEYE ANACHEPUKA SHAGHALABAGHALA MPK MKE ANADHARAULIKA.
 
Back
Top Bottom