Si kwa povu lile mange aliloshusha!Jamani usiku mwema nahamia IG kwa kweli
[emoji2]Woyoooooooo
nilifikiri dunia nzima hakuna kama yeyeEti kamuacha ,,diamond alimuacha zamani tu zari Ndio maana vituko haviishii ,,,bora tu we mganda
Nakojoa
Pole.sijaambua kitu na kinyantuzu changu naona diamond tu
Jamaa malaya sana..kitanda hicho hicho wanakuja kulala wanawake wengine wa kipuuziIt sound to me as though she's extremely frustrated with the way everything in her life is going/was going..especially love life.
Probably, Mond was a causative.
Koment hii ndio koment yangu ya siku ya Leo .View attachment 695821 Uzuri na tabia yake atafika mbali sana huyu mama!
Beauty is power, alafu she is smart, lethal combination of success and beyond!
YAANI NI MZURI SANA HUYU MWANAMKE TUACHE UTANI JAMANI!
May the Almighty Creators grant you peace!
Wewe tabia ya kucheat siyo ya Mondi peke yake,hyo ni hulka ya wanaume wengi awe maskini,uwezo wa kati ama tajiri!!Mumuache Mondi, kwanza mwanaume uliyekamilika unawezaje kula mwanamke mmoja maisha yako yote!?halafu sasa watoto wenyewe wakike wanavotutega na walivyo wazuri kuliko mama zao unaachaje kucheat!!mumuache Mondi bana!I smelled this before if real it is! Kwa uroho na ujana wa Diamond ni vigumu kuishi na bibi mmoja bila kucheat. Zari pia ana moyo wa nyama, anaumia!!!
....Hivi kumbe walioana?Huyu mwanamke Alikosea sana kuolewa na Yule dogo, dogo bado mshamba wa mademu anahitaji Kula wengi atosheke ndipo aoe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kama fala but why thouNaskia magazeti ya kesho yataandika HATIMAE TANZANIA YAACHIKA
Kuwa superstar kuna changamoto zake vbbgfg zinajileta usipokuwa makini utageuka hivyo.Jamaa malaya sana..kitanda hicho hicho wanakuja kulala wanawake wengine wa kipuuzi
View attachment 695821 Uzuri na tabia yake atafika mbali sana huyu mama!
Beauty is power, alafu she is smart, lethal combination of success and beyond!
YAANI NI MZURI SANA HUYU MWANAMKE TUACHE UTANI JAMANI!
May the Almighty Creators grant you peace!