Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Sishangai. Diamond kitombi mno.kavumilia mwisho kaona I had enogh. Utagombana na wanawake wangapi.is so sad.mwisho kaona bora ajiendee kanisani.
mi huwa sielewagi hivi zari ni mkristo au muislam
 
Wabongo bhana baada ya kukaa tukajadili namna ya kummaliza adui wa taifa letu ambaye ni CCM nyie mmekaa kujadili umbeya tu hao Zari na Mond wakiachana nyie mnaongezewa nini au mnapungukiwa nini acheni Ukuda
Kutwa,kupiga miayo ya njaa
 
Goes around, comes around, kwani alivyo msaliti mumewake wa ndoa nakujifanya yeye mjanja , muelewa wa mapenzi,

sasa hayo maneno yanatoka wapi tena?
 
Mbona diamond alimkubali na zari na watoto wake, mbona sasa zari nikama haoendi watoto wa diamond wa mwanamke mwingine?
 
Back
Top Bottom