Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

sio wema sepetu yule

wala brand yake si TZ tu

huwezi post hii kitu worldwide, ana fans nje y tz

uko wrong
Brand ya kuzalisha nini?
Subiri hiyo album itolewe,hawa watu sio wa kuwaamini kabisa
 
100% she is really a beautiful woman , pretty and awesome !!.

Kinachonifanya nimuelewe zaidiiiiiiii niuwezo wake Wa kiakili , and am amazed at how she handle stress am also amazed at how cute she is !!.

Chaaaaa Kila nikimuona zari.... Namfikiria Mima white cute [emoji122] [emoji122] [emoji123] !!.
Uwiiii mupnz kumbe na mm na vielement vya zariiii.........
ila kweli huyu Dada nibkiboko wa madada .......
 
bado natamani kuamini hii ni stori ya kutunga ama walau basi niamini kwamba mambo ya ndani inawezekana labda Zari ndo alikua anamkosea sana domo ila kama ni hivi hivi tunavoona nje basi kwa kumtenda kiasi hiki huyu mwanamke i just wish this idiot drops back to square one, ampite hata mr nice kwa ukurutu..
 
Diamond ni muhuni wa kutupwa.
Ingawa. Hawakuoana rasmi na Zari lakini walikuwa ma mahusiano ya kimapenzi ya wazi na wamezaa pamoja.

Kitendo cha Diamond kuchukua wanawake na kwenda kulala nao Madale chumba kile kile cha Zari ambako kuna chupi zake na nguo zake...huo ni uhuni ulopitiliza
Wanawake wanaojisigeza kuhaza nafasi walijue hilo kuwa huyu ni mhuni tu. Waingie aapate fedha
 
Diamond ni muhuni wa kutupwa.
Ingawa. Hawakuoana rasmi na Zari lakini walikuwa ma mahusiano ya kimapenzi ya wazi na wamezaa pamoja.

Kitendo cha Diamond kuchukua wanawake na kwenda kulala nao Madale chumba kile kile cha Zari ambako kuna chupi zake na nguo zake...huo ni uhuni ulopitiliza
Wanawake wanaojisigeza kuhaza nafasi walijue hilo kuwa huyu ni mhuni tu. Waingie aapate fedha
Usichokijuwa wewe Diamond ndio aina ya mwanaume anayekubalika sana kwa wanawake wengi.

Wewe endelea tu na uadilifu wako bado hujawaelewa wanawake, subiri siku wakulize ndio utaelewa hata muuza kahawa pia anaendesha chombo cha moto na kwa nini licha ya ubandidu wake ila Idd Amin aliitwa Dada.

FB_IMG_1507873381487.jpg
 
Umeoa jembe sasa unabaki na malofa wanaokunyonya diamond nilidhani unaakili kwa hili wewe nyambafu sasa huyo uliyenaye hadi mahakamani anaenda kudai matumizi yooh hapo ni unaitwa umebugi
 
Hii ni mipango ya kufanya waendelee kuwa kwenye chart. Kila siku lazima waje na kiki mpya. Tena kubwa kuliko iliyopita.

Kama mnafikiri natania, kiki ijayo ni ya kurudiana

Hamjiulizi kuwa tangu lini watu wakaachana kwa njia ya mtanda??????

Wasanii tu hawa
 
Because of that bitch from Uganda?

This is a big joke.
This is where you loose your brain.
We ni mange fwata upepo, breakdown huyu dogo kaliwa hiyo kamari, aendelee na umaarufu wake mwanamke yule South ataweka kabrasha mezani la matumizi watoto wa2.
Hapo fikiria mawakili wenu wasomi uchwara wakamtetee mahakama za South,
Atakubali kuhudumia,na kuachia malighafi zote alizoacha South km zake.
Maana kuna ushahidi wa kuhudumia mtoto mwingine bongo.
Zari ameatack panapotakiwa, refer kwa Ivan.
 
Back
Top Bottom