Zari: Diamond usinichafulie maisha

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.

Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.



[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Umeweka nini sasa chini ya hayo ma_emoji?😓😓
 
Nimegundua Diamond ni mtu mkubwa sana hapa bongo..umaarufu wake unaenda sambamba na umaarufu wa raisi wa jamhuri ya muungano Tanzania, hata makonda hafati.....

Jamaa tangu atoe nyimbo na nyimbo i kick view one Million with in 17 hrs, hali imebadilika na leo kazungumzia mahusiano na Zari, ndo kachafua kabisa hali ya hewa huko instagram...accnt zote hot za akina mange kimambi na wngine ni kumzungumzia diamond tuuu..duh
humu jf na kwenyewe ni hivohivo, nachojua jamaa amefanya hvo strategically, anacreate attention kwenye nyimbo yake mpya..na atawin game,
 








































































































































Ubibi kizee kwa huyu bibie haufichiki
 
Zari Ni Malaya anayejua kuongea kingereza na kujiweka classic kila siku na mwambia demu wangu.

Zari hamna kitu pale Ana bisha,huyo zari wenu Ni vile watanzania hawajui kingereza basi wakiona madoido yale wanapagawaaa..

Zari na wema hamna tofauti,sema wema ame base na wanaume wa ndani, zari ame target Africa nzima.
 
Hana washauri wazuri
ile ya magoli kwenye mechi ilibuma.. kaja na uongo. Duh!! Zari kaapa watoto wao wafe kama alicheat kabla ya black rose alipomuacha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…