Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Mambo ni motoo usiku huu. Baada ya Diamond kudai alimuacha Zari sababu alichepuka na Peter wa PSquare pamoja na personal trainer wake, Zari naye amerudisha mapigo kwa kumwambia Diamond kwamba alishamtumia Black Rose hivyo asianze kufukua makaburi.
Zari ameenda mbali zaidi kwa kusema Diamond asitake na yeye afukue makaburi kwani atatamani ardhi ipasuke aingie kujificha.
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]