Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Huyo jamaa si mumewe tena.

Na anayosema sasa anayasema kwa sababu ya inda tu hivyo ni ya kuyaangalia kwa jicho la tatu.

Kwangu mimi huyo jamaa ana zero credibility.
Hakika huyu awezi akawa chanzo cha kuaminika!
 
Alizungumza wapi? Leta ushahidi wenye ithibati, mambo ya "yawezekana" kama mpiga ramli hapa hayahitajiki.

Kwa nini isiwe "yawezekana" Zari ndio amechanganyikiwa kuachwa na mume tajili na sasa anajifariji kwa potter wake?
Hahahahaha haya mkuu subiri uthibitisho utaletewa
 
Hata Kiswahili hukijui vizuri!

Eti "ushahidi wenye ithibati" LMAO.....

Hivi unajua maana ya ithibati wewe?

Acha kuiga iga watu wewe....siyo kila ukiona mtu katumia neno fulani basi ndo na wewe ulitumie hata kama hujui maana yake, ebo!!

Wewe ni tutusa tu huna hoja.
 

Asikupotezee muda na huyu second Citizen mkimbizi wa uchumi.

Bichwa kubwa akili sifuri kujifanya mjuaji wakati hajawahi kuvumbuwa hata sindano. Falla tu.
 
Wewe ni tutusa tu huna hoja.

Onyesha ni kivipi sina hoja.

Asikupotezee muda na huyu second Citizen mkimbizi wa uchumi.

Eti second citizen!! Second citizen ndo nini? Na uchumi gani huo nilioukimbia?

Bichwa kubwa akili sifuri kujifanya mjuaji wakati hajawahi kuvumbuwa hata sindano. Falla tu.

"kuvumbuwa" ndo nini?
 

Huyo Diamond ni yule wa Mbagara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…