Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila kukicha, ebu fikiria mtu kama Rihanna, unadhani hakuna mtu wa kumuoa? , tatizo watu wanajua ni stress kumdate rihanna , mtu kila siku anazunguka duniani kufanya shoo, unajua anakutana na watu wangapi? , Hana muda na mpenzi wala familia, uko tayar kuvumilia ku date mtu kama huyo , uko tayar ku cope? , mastaa hawana muda wa kutosha wa ku enjoy na familia zao.

Sasa Dada yetu zari wakati unakutana na diamond ulimkuta akiwa staa tayar , alikua na msululu kibao wa wanawake aliodate nao au kulala nao , ulijua fika kuwa mtu wako anawindwa na wadada wa mujini, Ila wewe ukabahatika, na mkazaa , tena mtoto wa watu alikua anakuheshimu na kukupost instagram juu, Diamond ni malaya hilo liko Wazi, Ila kwa kuwa iliamua kumzalia tena watoto wawili, we ni bora tu ungemvumilia upuuzi wake mkalea watoto vizuri , maana tunajua kama usingetangaza kuachana na diamond sidhan kama yeye angekuacha, hyo jeuri Hana , Diamond anakupenda Ila kuna watu tu wanamchezeya tu akili kuaribu familia yako, sasa na wewe ulivyokua na moyo mwepesi na kujifanya bosslady ukaamua kumuacha, wenzio wakambeba maana walikua wanammendea toka alivyokua kwako, Ila tunajua tu soon atarudi kwako kwa magoti maana now sio akili zake, Ila ulicheza faulo kumuacha baba watoto wako , na wewe Domo nina kichambo chako
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani bossylady tenaa
 
Zari sasa hivi anatamani kurudi ila waaapi!too late to catch the train!
 
Hamna jamii ya wanawake wenye stress kama ma strong woman uwaga wanakuwa strong nje tu as if hawana shida kabisa na mwanaume lakini uwaga wana msongo mkubwa sana wa mawazo...na sababu kubwa mwanamke hata awe strong vip anahitaji mwanaume ambaye atampenda kama alivyo na mapungufu yake na kosoro zake mara nyingi strong woman hawapatagi wanaume wa hivo sababu ya vibri zao...the same to men,mwanaume hata ufanikiwe vip kuna mda unafika unahitaji mwanamke ambaye atakuheshimu,kuwa upande wako,kukusapoti na kukujali kama ulivyo pamoja na madhaifu yako...mara nyingi wanaume maskini sanaaaa hawapatagi bahati hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…