asanteee RaynaveroHuku ni zaidi ya burdaani full kuinjoi!!!karibu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Toka mwaka 2013 wanaulizaga jinsia mpaka leo umalaya tu unawasumbuaNYIE MLIOKAZANA KUJUA JINSIA YA warumi
mkishaijua itawasaidia nini?
mnauza chupi za kike na kiume kuwa mnataka kumnunulia au?
mnajaza kadi lake la kliniki au?
MNAFANYA NINI UZI ULIOKAA KIKE NA NYIE NI WANAUME?
si muende kwenye threads wanazokagua kende ndo wacomment!
huku mtuache na starehe zetu!
Binam ile ishu si nilicopy halaf pm nikafuta halaf nikasahu kuisave,,plz naomba unitumie tena samahan kwa usumbufu ndio maana unaona kimyaaaMaisha mafupi burudani lazima[emoji1] [emoji1] [emoji1]
HahahaaaKweli mbongo mnyime vyote ila sio umbea, sikutegemea kama Uzi utakuwa mrefu hivi[emoji16]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shoga kumbe pm mnafutaa!!!Mimi mzembe naziacha tu!sijui najiamini nini!!Binam ile ishu si nilicopy halaf pm nikafuta halaf nikasahu kuisave,,plz naomba unitumie tena samahan kwa usumbufu ndio maana unaona kimyaaa
Tupo wapunguza stress full burdaaniiiKwanu Zari yupo humu?
Poa poa!!!!asanteee Raynavero
Kuna siku nilliangalia behind the scene ya african Beauty, nimemuoza akiwa anatoa maelekezo wakati wa ku-shoot. Baada ya hapo nikajua hawana lolote wale, bao ni wamoja. Sema ile ilikuea ni Kick ya kutokea ya Video ya African Beauty.Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila kukicha, ebu fikiria mtu kama Rihanna, unadhani hakuna mtu wa kumuoa? , tatizo watu wanajua ni stress kumdate rihanna , mtu kila siku anazunguka duniani kufanya shoo, unajua anakutana na watu wangapi? , Hana muda na mpenzi wala familia, uko tayar kuvumilia ku date mtu kama huyo , uko tayar ku cope? , mastaa hawana muda wa kutosha wa ku enjoy na familia zao.
Sasa Dada yetu zari wakati unakutana na diamond ulimkuta akiwa staa tayar , alikua na msululu kibao wa wanawake aliodate nao au kulala nao , ulijua fika kuwa mtu wako anawindwa na wadada wa mujini, Ila wewe ukabahatika, na mkazaa , tena mtoto wa watu alikua anakuheshimu na kukupost instagram juu, Diamond ni malaya hilo liko Wazi, Ila kwa kuwa iliamua kumzalia tena watoto wawili, we ni bora tu ungemvumilia upuuzi wake mkalea watoto vizuri , maana tunajua kama usingetangaza kuachana na diamond sidhan kama yeye angekuacha, hyo jeuri Hana , Diamond anakupenda Ila kuna watu tu wanamchezeya tu akili kuaribu familia yako, sasa na wewe ulivyokua na moyo mwepesi na kujifanya bosslady ukaamua kumuacha, wenzio wakambeba maana walikua wanammendea toka alivyokua kwako, Ila tunajua tu soon atarudi kwako kwa magoti maana now sio akili zake, Ila ulicheza faulo kumuacha baba watoto wako , na wewe Domo nina kichambo chako
Najua huwezi amini kuwa kuna mwanaume anajua kupenda kuliko Smart911, vivyo hivyo huwezi amini kuwa mimi ni mgeni na hii ni ID yangu ya kwanza hapa JF. Unalo jengine yakhe? Mama Sabrina achana naye yeye kiboko yake warumi
Shogaa sitaki g asome umbea wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shoga kumbe pm mnafutaa!!!Mimi mzembe naziacha tu!sijui najiamini nini!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] saafiiShogaa sitaki g asome umbea wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudia shoga nisamehe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] saafii
Ntakutumia best angu!Rudia shoga nisamehe
Najua huwezi amini kuwa kuna mwanaume anajua kupenda kuliko Smart911, vivyo hivyo huwezi amini kuwa mimi ni mgeni na hii ni ID yangu ya kwanza hapa JF. Unalo jengine yakhe? Mama Sabrina achana naye yeye kiboko yake warumi
Najua huwezi amini kuwa kuna mwanaume anajua kupenda kuliko Smart911, vivyo hivyo huwezi amini kuwa mimi ni mgeni na hii ni ID yangu ya kwanza hapa JF. Unalo jengine yakhe? Mama Sabrina achana naye yeye kiboko yake warumi
Ntakutumia best angu!