Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Analetaje jukwaani mambo ya kusikia sikia. Kuwa na uhakika kabla hujatoa hukumu.Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
Avatar ya mtoa mada ,unaona kamuweka "Popoo" ...hii inaweza kukupa picha nimtu wa aina gan !!Huu ni upupu unaandika hapa abt celebrities...ushamuona Jay anamfanyia ujinga Beyonce?.wa type hii ya Diamond?.
Celebrities wengii mnoo wanaishi vizurii tuu ni kujipanga tuu na km mnapendana na kuheshimiana
Umalaya wa Diamond na ujinga ni kiwango cha lami...unavumilia nini pale au ushenzi tu
Zari anachohitaji ni mapenzi na heshima sio pesa
Mtu heshima yako is at stake unamuacha mtu aendelee na habari zake unakaa pembeni
Ndio ukubali daimond alikuwa hampendi zari na alimuacha zari siku mingiiAvatar ya mtoa mada ,unaona kamuweka "Popoo" ...hii inaweza kukupa picha nimtu wa aina gan !!
Mtoa mada angekua mwanamke, basi niwale wanaopigwa mpaka wanatolewa mbavu kisa Mwanamme.
Mwanamme akikupenda,atakuheshimu kama Mama yake ..no cheating,..no kipigo..no matusi..no dharau..no niniii......yaaan sana kuna maudhi madogo yakibinadam na ambayo kazi yake nikuimarisha mahusiano.
zari is waaay better than domoTatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila kukicha, ebu fikiria mtu kama Rihanna, unadhani hakuna mtu wa kumuoa? , tatizo watu wanajua ni stress kumdate rihanna , mtu kila siku anazunguka duniani kufanya shoo, unajua anakutana na watu wangapi? , Hana muda na mpenzi wala familia, uko tayar kuvumilia ku date mtu kama huyo , uko tayar ku cope? , mastaa hawana muda wa kutosha wa ku enjoy na familia zao.
Sasa Dada yetu zari wakati unakutana na diamond ulimkuta akiwa staa tayar , alikua na msululu kibao wa wanawake aliodate nao au kulala nao , ulijua fika kuwa mtu wako anawindwa na wadada wa mujini, Ila wewe ukabahatika, na mkazaa , tena mtoto wa watu alikua anakuheshimu na kukupost instagram juu, Diamond ni malaya hilo liko Wazi, Ila kwa kuwa iliamua kumzalia tena watoto wawili, we ni bora tu ungemvumilia upuuzi wake mkalea watoto vizuri , maana tunajua kama usingetangaza kuachana na diamond sidhan kama yeye angekuacha, hyo jeuri Hana , Diamond anakupenda Ila kuna watu tu wanamchezeya tu akili kuaribu familia yako, sasa na wewe ulivyokua na moyo mwepesi na kujifanya bosslady ukaamua kumuacha, wenzio wakambeba maana walikua wanammendea toka alivyokua kwako, Ila tunajua tu soon atarudi kwako kwa magoti maana now sio akili zake, Ila ulicheza faulo kumuacha baba watoto wako , na wewe Domo nina kichambo chako
Diamond nikijana malaya alotokea kumpenda mno zary.Ndio ukubali daimond alikuwa hampendi zari na alimuacha zari siku mingii
KambakeNatamani Diamond atie japo kichwa tu huku chini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo la social media anafurahisha mashabiki zake wakati yeye ndo anamhitaji,kamuacha hata msahamaha hajaombwa kutwa kujiongelesha mwenziwe hana hata muda ndo hapo unapotamani ugombane naeAlijaribu kujamba wakati anaharisha
Kama kuna watu walijua watafunga ndoa wale wawili nawapa pole sanaSasa hivi akinunua hata mapazia atapiga picha na kusema anasubiria mapazia mapya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daimond ndio alimuacha zari muda mrefu tuu ila zari hakujua,anakuja kujua kushakucha na kujitangazisha BBC wala daimond hana habarii alimpenda kwa kwaajili ya watoto tu yupo busy na hamisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio ukubali daimond alikuwa hampendi zari na alimuacha zari siku mingii