Ndio ustusimange eti low life,haya nawe vipi unamiliki au umepangiwa nyumba kama zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anaefata matendo ya zari zari kayakuta maisha yapo hivyo hata biblia iliandika
sijazungumzia kaupatia wapi... nimesema ni star
Hayo ya kuupatia wapi nakuachia wewe
zari hapotei kwenye social medias leo wala kesho!Anonymous daima naweza jitapa namiliki kila kitu na kudanganya nimehongwa hiki kile nimetolea jasho hiki kile kumbe mboyoyo tu,namuongelea role model wa wadada wooooteee wa Tanzania,zarithebosslady
Someone swears eti zari atapotea na hataongelewa tena JF na penginepo baada ya ua jeusi,cheki hapa anavyowatoa jasho la vidole
shida ni pale watu wanaamini zari social medias anaitambia kwa naseeb, sio kweli!Fatilia comment za mtu unayemjibu anamfahamu sana zari na ustaa tangu akiwa kwao UG. Kila detail ya zari anayo.
shida ni pale watu wanaamini zari social medias anaitambia kwa naseeb, sio kweli!
HUYU AMEKIMBIZA MEDIA ZA EAST AFRICA EVER SINCE!
I missing you too jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame miss uuu!!!
i care less about Uganda my dear... Hata Mondi hakua star miaka kadhaa iliyopitaFatilia comment za mtu unayemjibu anamfahamu sana zari na ustaa tangu akiwa kwao UG. Kila detail ya zari anayo.
Kuna mtu alikuwa hujui kuvaa kama Zari????? Yale mawiving aliyokuwa akivaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Awashukuru sana wa Tz kumpambanisha na Wema kipindi ameanza kuwa na Naseeb ilimsaidia akajua na kuvaa.Tena wadada wengi walikua wanajifunzia fashion kupitia zari kwenye account zake za mitandaoni. Saiv wivu umewajaa wanadai umaarufu kaupata kwa dai. Mie mwwnyewe nataman maisha yake,nandy kapigwa midole live hajahongwa hata baiskel,faiza kaonyesha nyeti wa kati anajifungua hana hata pesa za kujinunulia gari.
Natamani Diamond atie japo kichwa tu huku chini
Shoga nenda insta kamsearch ringtoneapoko uone yaliyojiri hukoUa jeusi ni motroooooooo kila mtu anajaribu kupindua matokeo lakini ukweli ni kwamba zari kaaacha,na mkiachwa achikeni
Bas sawa mleta mada ni bisexualUwe unasoma comment na kuielewa kabla hujakurupuka! Wapi nimesema mleta mada ni Me? Wewe uliyejiunga jf kitambo umetengeneza mamilioni eeh?
Not only to catch the train " TO CATCH THE MOVING TRAIN"Zari sasa hivi anatamani kurudi ila waaapi!too late to catch the train!
ha ha haa haaaKwahyo kwa akili zako uanaume ni kusukuma toroli, kubeba nondo, na kukunja sura? acha ushambenga.
i care less about Uganda my dear... Hata Mondi hakua star miaka kadhaa iliyopita
My point is... ukishakua star, ni star... haijalishi umeupatia wapi
NakaziaMtoa mada , ....
Zary kukimbia ,kafanya ujinga?? .. Unahisi Zar kubakia au kukimbia niipi ilokua nafaida kwake?? .
Hii mada yako inawahusu wanawake wasokua independent kimawazo,kifikra,kiuchumi n.k... ..... Binafsi sipendi mwanamke anayejifanya mshumaa.
Napenda mwanamke mwenye uwezo wa kuhoji na kufanya maamuzi kwa mustakbar wa Heshima na Thaman yake yeye.... Acha kumlinganisha Zary ns wafia njaaa ,ambao wanajua Diamond ana mtu lkn bado wanavitegesha waliwe ilimradi tu ajisikie kua naye ameliwa na Diamond,,kwa bahati mbaya izo ndo akili za wanawake wasojielewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ningehama bongo ndoa mchezooiDhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa
Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bwahaha Haa hahaaKama vya kuhongwa hata sisi tunahongwa tu kufikia umri wa zari tutakuwa nayo hata sisi,labda we ndio unatishika kwa vitu alivyonavyo zari,,k lyn akianza kujitapa hadi vikombe si tutakufa jamani
Kuna mtu alikuwa hujui kuvaa kama Zari????? Yale mawiving aliyokuwa akivaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Awashukuru sana wa Tz kumpambanisha na Wema kipindi ameanza kuwa na Naseeb ilimsaidia akajua na kuvaa.
Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.