Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Anonymous daima naweza jitapa namiliki kila kitu na kudanganya nimehongwa hiki kile nimetolea jasho hiki kile kumbe mboyoyo tu,namuongelea role model wa wadada wooooteee wa Tanzania,zarithebosslady

Someone swears eti zari atapotea na hataongelewa tena JF na penginepo baada ya ua jeusi,cheki hapa anavyowatoa jasho la vidole
Ndio ustusimange eti low life,haya nawe vipi unamiliki au umepangiwa nyumba kama zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anaefata matendo ya zari zari kayakuta maisha yapo hivyo hata biblia iliandika
 
Fatilia comment za mtu unayemjibu anamfahamu sana zari na ustaa tangu akiwa kwao UG. Kila detail ya zari anayo.
sijazungumzia kaupatia wapi... nimesema ni star

Hayo ya kuupatia wapi nakuachia wewe
 
Anonymous daima naweza jitapa namiliki kila kitu na kudanganya nimehongwa hiki kile nimetolea jasho hiki kile kumbe mboyoyo tu,namuongelea role model wa wadada wooooteee wa Tanzania,zarithebosslady

Someone swears eti zari atapotea na hataongelewa tena JF na penginepo baada ya ua jeusi,cheki hapa anavyowatoa jasho la vidole
zari hapotei kwenye social medias leo wala kesho!
WITH OR WITHOUT NASEEB!
 
Tena wadada wengi walikua wanajifunzia fashion kupitia zari kwenye account zake za mitandaoni. Saiv wivu umewajaa wanadai umaarufu kaupata kwa dai. Mie mwwnyewe nataman maisha yake,nandy kapigwa midole live hajahongwa hata baiskel,faiza kaonyesha nyeti wa kati anajifungua hana hata pesa za kujinunulia gari.
shida ni pale watu wanaamini zari social medias anaitambia kwa naseeb, sio kweli!
HUYU AMEKIMBIZA MEDIA ZA EAST AFRICA EVER SINCE!
 
Fatilia comment za mtu unayemjibu anamfahamu sana zari na ustaa tangu akiwa kwao UG. Kila detail ya zari anayo.
i care less about Uganda my dear... Hata Mondi hakua star miaka kadhaa iliyopita

My point is... ukishakua star, ni star... haijalishi umeupatia wapi
 
Tena wadada wengi walikua wanajifunzia fashion kupitia zari kwenye account zake za mitandaoni. Saiv wivu umewajaa wanadai umaarufu kaupata kwa dai. Mie mwwnyewe nataman maisha yake,nandy kapigwa midole live hajahongwa hata baiskel,faiza kaonyesha nyeti wa kati anajifungua hana hata pesa za kujinunulia gari.
Kuna mtu alikuwa hujui kuvaa kama Zari????? Yale mawiving aliyokuwa akivaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Awashukuru sana wa Tz kumpambanisha na Wema kipindi ameanza kuwa na Naseeb ilimsaidia akajua na kuvaa.
 
Ua jeusi ni motroooooooo kila mtu anajaribu kupindua matokeo lakini ukweli ni kwamba zari kaaacha,na mkiachwa achikeni
Shoga nenda insta kamsearch ringtoneapoko uone yaliyojiri huko
 
Mtoa mada , ....

Zary kukimbia ,kafanya ujinga?? .. Unahisi Zar kubakia au kukimbia niipi ilokua nafaida kwake?? .

Hii mada yako inawahusu wanawake wasokua independent kimawazo,kifikra,kiuchumi n.k... ..... Binafsi sipendi mwanamke anayejifanya mshumaa.

Napenda mwanamke mwenye uwezo wa kuhoji na kufanya maamuzi kwa mustakbar wa Heshima na Thaman yake yeye.... Acha kumlinganisha Zary ns wafia njaaa ,ambao wanajua Diamond ana mtu lkn bado wanavitegesha waliwe ilimradi tu ajisikie kua naye ameliwa na Diamond,,kwa bahati mbaya izo ndo akili za wanawake wasojielewa.
Nakazia
 
Dhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa

Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ningehama bongo ndoa mchezooi

Unaambiwa usililie uzuri,Lilia bahati ana bahati ya kuzaa mama mkubwa kuolewa wengine
 
Kama vya kuhongwa hata sisi tunahongwa tu kufikia umri wa zari tutakuwa nayo hata sisi,labda we ndio unatishika kwa vitu alivyonavyo zari,,k lyn akianza kujitapa hadi vikombe si tutakufa jamani
bwahaha Haa hahaa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona leo nimekurupusha watu wooyooo chezea numby
Kuna mtu alikuwa hujui kuvaa kama Zari????? Yale mawiving aliyokuwa akivaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Awashukuru sana wa Tz kumpambanisha na Wema kipindi ameanza kuwa na Naseeb ilimsaidia akajua na kuvaa.
 
Umenipiga chenga Mkuu, Ahmada ndiyo nini!?

Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
 
Back
Top Bottom