hahaaa eti mama yenu mkubwa duuuhh"" nyie kweli ni ponzy schemeDhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa
Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga nenda insta kamsearch ringtoneapoko uone yaliyojiri huko
dduuuhhhh"""Tena wadada wengi walikua wanajifunzia fashion kupitia zari kwenye account zake za mitandaoni. Saiv wivu umewajaa wanadai umaarufu kaupata kwa dai. Mie mwwnyewe nataman maisha yake,nandy kapigwa midole live hajahongwa hata baiskel,faiza kaonyesha nyeti wa kati anajifungua hana hata pesa za kujinunulia gari.
Eheeee hawa wenye roho za kutu acha wabwabwaje
hahaaaa cha pombe "" mleviUmenipiga chenga Mkuu, Ahmada ndiyo nini!?
Aliebadili id nani,,kumbe unapanikigi hivi haya byeSitoagi ban mie ntakosa wa kumshushua kama shostio aliyebadili ID [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeimiss ile lips jomon.
Hapo umemtaja tiffa daah nahisi unakereka mno pale unapokumbuka mama ake tiffa ni zari,general herself
Hahahahahah na ule wanja wake enzi zile nakojooaKuna mtu alikuwa hujui kuvaa kama Zari????? Yale mawiving aliyokuwa akivaa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Awashukuru sana wa Tz kumpambanisha na Wema kipindi ameanza kuwa na Naseeb ilimsaidia akajua na kuvaa.
Eheeee hawa wenye roho za kutu acha wabwabwaje
Washajua anapenda vitoto acha wamlambe vijana saizi ya wanae
Haahhaha namchokoza Numbisahahaaa eti mama yenu mkubwa duuuhh"" nyie kweli ni ponzy scheme
Aliebadili id nani,,kumbe unapanikigi hivi haya bye
Washajua anapenda vitoto acha wamlambe vijana saizi ya wanae
hahaaa naona povu alilolitoa..mpaka mimi huku nimelowanaHaahhaha namchokoza Numbisa
Kakufanyaje mbona kubadili usernam ni kipenda roho ,hata we badili tu ukipenda mamaGeniverous a.k.a raynavero. Naongea fact mpaka mnanichukia nakuona panic
Ulikuwa wapii,tunaomba picha za msiba wa bilali tuone alizikwa kiislam au kipaganAhsante binamu, nawapa kitchen party
Sawa mdogo wake zar[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeah ben ten habar ya mujini kama baloz wetu shishi