hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa eti mama yenu mkubwa duuuhh"" nyie kweli ni ponzy schemeDhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa
Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]