Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Dhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa

Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaa eti mama yenu mkubwa duuuhh"" nyie kweli ni ponzy scheme
 
31666729_988332361342582_4602733747509395456_n.jpg
31686911_203765206904329_6836730694119456768_n.jpg
 
Tena wadada wengi walikua wanajifunzia fashion kupitia zari kwenye account zake za mitandaoni. Saiv wivu umewajaa wanadai umaarufu kaupata kwa dai. Mie mwwnyewe nataman maisha yake,nandy kapigwa midole live hajahongwa hata baiskel,faiza kaonyesha nyeti wa kati anajifungua hana hata pesa za kujinunulia gari.
dduuuhhhh"""

Mzigua90
mahondaw
Shunie .....hivi mlipita huku "?
 
Bwana mwenyewe ndo kwanzaaa kadata yupo busy kusaka ushahidi wa kukomesha lowlife wanaomsema nillan
31213831_711799729210380_3956449948098101248_n.jpg
 
Sitoagi ban mie ntakosa wa kumshushua kama shostio aliyebadili ID [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeimiss ile lips jomon.

Hapo umemtaja tiffa daah nahisi unakereka mno pale unapokumbuka mama ake tiffa ni zari,general herself
Aliebadili id nani,,kumbe unapanikigi hivi haya bye
 
Back
Top Bottom