Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Hakii niwewe ndo umeniambukiza rafiki.. nishakua addicted afu Ubaya nguvu mwenzio sinaaaaa ila kwa mbio tu yesuu hunikamati tihtihtih



cc Smart911
hahaaa acha masihara basii binamu...mimi nikufundishe wewe ""kungwi " kungfu master shivo""mamba yao mwenyew""""aiseee nafwaaaaaa""
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee leo nimeumiza watu mpaka wanaingiza yanga na simba

Outa here,next time ntarudi mie ndo numby bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] urudi home sasa
 
Yangu huipendii binam au kwa vile mme wangu haingii humu sana,binam ntakumwagia mapovu sasa hivi
Sishindwi kukuchamba halaf baadae tunapatana unaniudhigiiii ngoja nikuwache
Mahondaw alisemwaa mpaka basi,smart wake akafatwa juu kupewa maneno wanaadam pendo la kweli halivunjwi kabisa ,

Mimi sasa binam yako password ya shemejio nnayo nimeblock hakuna mtu kumtumia pm ,na siku mtu akijitumisha ikaja bahati mbaya namjibu mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojooooooo kwa rahaa
Wee mama weee hivi ni mchawi ninii lol???? [emoji1] [emoji1] [emoji38] Anyway no need to cry over spilt milk na Smart911 wangu mungu atusimamie kwakweli
 
Tumechambwaaa hahaha sema roho ngumu tu,nakumbuka mpaka ulisemaga serikali iingilie kati maana zari anazaa mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakii kwa roho nguvu tu nakupongeza.. Na kama ni kujitoa ufahamu tu bravo asee wengine tulivo na mioyo midogo duhh



Cc Smart911
 
Sasa Ana stress gani hela anazo na anaweza pata mwanaume yeyote ambae ni handsome boy na anayejielewa kuliko Domo. Maisha yamebadilika sana hawa wanawake wenu wasio na exposure ndo huwa wanapata stress za kijinga sababu kwao mapenzi ndo kila kitu. Usifananishe mtu anayetembelea Bentley na anayekojolewa kwa kukuhongwa vocha tu
 
Back
Top Bottom