Huu ni upuuzi, na uchinga uliokomaa. I repeat, THIS IS STUPIDITY
Aisee vijana wa kitanzania Tuna safari ndefu sana..........
Mtoto wa Diamond priness tiffah amabaye Ana siku moja toka aje duniani ame mburuza na kumgaragaza mtoto wa pili wa Kiba, Kiba jr kwa idadi ya followers Instagram ikumbukwe Princess Tiffah account yake ya Insta gram siku moja wakati ya kiba Jr ina 76 weeks.
Kila napoona ujinga kama huu ndio nazidi kujuta ilikuwaje wazazi wakaishi nchi ya wajinga kama mtoa mada hii, mpaka nimezaliwa nchi hii, sioni fahari kabisa kuzaliwa nchi kama hii
Akili za kingese kweli hiz!
Na wa dadako kule sitimbi wakoje! !
Konyo kweli wewe! !
Nasikia Lipumba baada ya kujiuzulu ameondoka nchini,ameelekea nchi gani vile?