Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Tunapozungumzia kukua kwa tasnia ni pamoja na kubadilika kimaisha kwa msanii na familia yake kiujumla lakini pia jamii nzima anayotokea msanii.

Kinachotokea kwa dimond ni taswira halisi y nini maana ya msanii. Tena msanii mkubwa. Tumeona nchi zilizoendelea msanii ata nguo anayoivaa kwake akiivua na kutaka kuiuza thamani yake inabadilika so huo ndo maana ya usanii.

Mtoto wa dimond ni staa kwa sababu y platform ya wazazi wake lazima kuwe na vitu vya kutofautisha wasanii kila kitu kiwe kwa ajili ya kuongeza thamani ya wasanii wetu.

Nampongeza mana anajitahidi kuonyesha nini maana ya kuwa star. Huu ni mwanzo mzuri kwa wasanii wetu.

Hongera bwana DIAMOND.
 
watu mchanganya!mambo hapa nchi yeyote ina cerebreties! Na mashabiki wao wanafatilia kila wanachofanya!! Hii ci tanzania tu,ipo hata Nigeria,ghana, etc,!! Na tanzania tupo katika mfumo upi wa habari,ni UTANDAWAZI, hii ni tofauti na rwanda,burundi,
 
Habari n kuwa kupata hatimiliki ya kuonyesha picha za uso wa mtoto wa diamond bei n milioni 100 n hadi sasa kuna kampuni mbili zina shindania ilo deal
 
Nye ndo mnaotufanya watanzania tuonekane wajinga,huna aibu unaleta upuuzi humu,kweli kichwa chako haina hata mb 1

Sasa na wewe ndio umeandika nn na hizo akil ulizo nazo? Toka lini kichwani kukawa na megabytes?
 
siku moja haha alikua hawajataka kumuonyesha ila ukweli ndo huo

diamond ana akili ya biashara na anatumia fursa vizur amesha jua kua watanzania ni mapoyoyo amenote wambea kama nyie mna hangaika kutaka kujua sura ya mwanae ikoje so lazma atatumia hiyo nafasi kupiga hela,we angalia picha zote za mtoto wake hamuonyeshi sura!

any way!! vipi mkuu oktoba 25 tuta toboa UKAWA?
 
Ndo habari ya mjini..ukiacha ya akina lipumba hahaha na bila ya kusahau kikwete's selfies with celebrities...diamond kweli ana management ya ukweli..mtoto kashaanza kupata endorsements..Instagram naona followers wanaongezeka every minute..ndan yamasaa machache tu mtoto anajeuka kivutio cha kupata mikataba minono..sjui tutaiona lini sura ya mwanae dah ...jamaa ameona fursa ya ku make more money .hongera baba tiffah
 
Jaman mbona mapovu yanawatoka ?? Au wivu ?? Sasa mambo ya ccm na mambo ya kua na akili ndogo siyaoni msingi wake hapa..ndo mana jf kuna majukwaa tofauti kama wewe unajiona uko kwenye jukwaa la kisiasa ama mengine basi nenda huko ..hili jukwaa ni la celebrities na entertainment ndo mana post zinazotolewa ni za aina hio..sasa mtu ametoa Uzi wake basi mtu sjui roho mbaya tu kama ya kutu anatokwa povu utafikiri imemkost life yake kusoma hii thread...acheni hizo..
 
Back
Top Bottom