Tunapozungumzia kukua kwa tasnia ni pamoja na kubadilika kimaisha kwa msanii na familia yake kiujumla lakini pia jamii nzima anayotokea msanii.
Kinachotokea kwa dimond ni taswira halisi y nini maana ya msanii. Tena msanii mkubwa. Tumeona nchi zilizoendelea msanii ata nguo anayoivaa kwake akiivua na kutaka kuiuza thamani yake inabadilika so huo ndo maana ya usanii.
Mtoto wa dimond ni staa kwa sababu y platform ya wazazi wake lazima kuwe na vitu vya kutofautisha wasanii kila kitu kiwe kwa ajili ya kuongeza thamani ya wasanii wetu.
Nampongeza mana anajitahidi kuonyesha nini maana ya kuwa star. Huu ni mwanzo mzuri kwa wasanii wetu.
Hongera bwana DIAMOND.