Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milele AminaTumsifu Yesu kristu
hahahahahahahahahahaahhahahaUtasikia wanasema anatafuta kiki Tu mimba sio yake wala nini. Ni ya muheshimiwa Le Mutuz. We ngoja Tu!
Kwa chibu anavopenda watoto sidhani kama kuna ukweli apoMbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
Duu yamekuwa hayo? Umeenda mbali, nimeishia kuchekaUtasikia wanasema anatafuta kiki Tu mimba sio yake wala nini. Ni ya muheshimiwa Le Mutuz. We ngoja Tu!
Anaangalia anazaa wapi,hazai zai tu,akiona pesa anajitegaZari kiboko haogopi kuzaa kama wanawake wa Sikh hizi
Kuongea ni rahisi. Kwenye kutenda hapo ndo kuna kasheshe. Nidhamu ya kula, mazoezi, si mambo rahisi kuyatimiza. Unatakiwa uwe na nia thabiti.Afu unakuta mtu Kazaa mtoto mmoja mwili umelepweta kama zigo la viazi,
Wanawake tuna cha kujifunza hapa kwa kweli, ukijaliwa kuchagua uzazi natural ni mzuri kuliko operation
Tufanye mazoez, tupunguze kula ovyo na kujiremba mtt wa kike muhimuu,kuzaa isiwe mwisho wa maisha
Kuongea ni rahisi. Kwenye kutenda hapo ndo kuna kasheshe. Nidhamu ya kula, mazoezi, si mambo rahisi kuyatimiza. Unatakiwa uwe na nia thabiti.
Licha ya nia tu yapaswa iwe lifestyle, yani mtu ujizoeshe kuwa maisha yako yote utakua unakula vizuri, hujiachii kula hovyo hovyo kila maraKuongea ni rahisi. Kwenye kutenda hapo ndo kuna kasheshe. Nidhamu ya kula, mazoezi, si mambo rahisi kuyatimiza. Unatakiwa uwe na nia thabiti.
unataka kusema we ndo una akili sana kuliko yeye? kwa celeb kama yule lazma itakua anajua anacho kifanya.angalia age diff ya watoto wake wa kiume ndio utapata jibu halisi.we have to learn to mind our own biznez especially in the family affairs...na sio kujifanya mafundi wa kulaumu wakati huko makwetu ndo balaa zaidi.Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.