Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

Mbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
Kwa chibu anavopenda watoto sidhani kama kuna ukweli apo
 
Post ya Diamond Platinumz hukoooo Instagram yaweza ikawa inathibitisha utarajio wa kumpokea mdogo wake Tiffa au pengine inamaanisha Tiffa mwenye. Anyway yote kheri, mie nampongeza tu.

dmondpost24062016.jpg
 
Afu unakuta mtu Kazaa mtoto mmoja mwili umelepweta kama zigo la viazi,
Wanawake tuna cha kujifunza hapa kwa kweli, ukijaliwa kuchagua uzazi natural ni mzuri kuliko operation
Tufanye mazoez, tupunguze kula ovyo na kujiremba mtt wa kike muhimuu,kuzaa isiwe mwisho wa maisha
 
Kuongea ni rahisi. Kwenye kutenda hapo ndo kuna kasheshe. Nidhamu ya kula, mazoezi, si mambo rahisi kuyatimiza. Unatakiwa uwe na nia thabiti.
 
Kuongea ni rahisi. Kwenye kutenda hapo ndo kuna kasheshe. Nidhamu ya kula, mazoezi, si mambo rahisi kuyatimiza. Unatakiwa uwe na nia thabiti.
Licha ya nia tu yapaswa iwe lifestyle, yani mtu ujizoeshe kuwa maisha yako yote utakua unakula vizuri, hujiachii kula hovyo hovyo kila mara
 
Hapo sasa w atakuwa Wamembemenda Tiffah, Hivi kafikisha hata miaka miwili?

Limit ya uzazi wa Tanzania ni mpishano wa angalau miaka mitatu, Chibu unakimbilia wapi mkuu..!! Au unataka kupangua kejeli za kina Mama Ubaya?

BACK TANGANYIKA
 
Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
unataka kusema we ndo una akili sana kuliko yeye? kwa celeb kama yule lazma itakua anajua anacho kifanya.angalia age diff ya watoto wake wa kiume ndio utapata jibu halisi.we have to learn to mind our own biznez especially in the family affairs...na sio kujifanya mafundi wa kulaumu wakati huko makwetu ndo balaa zaidi.
 
Back
Top Bottom