Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Imekuuma ee subiri yamfike ya kumfika ndo utajua maana ya uchungu wa ukweli au uongo
Sasa Tunda kaingiaje humu?

Humu tunamuongelea Zari na watoto wake pamoja na marehemu mumewe ,sasa Tunda kaingiaje ingiaje yaani?
 
Zari and her soldiers
 
Ikiwa ni takribani siku 3-4 tangu Ivan The don (Ex wa zari) kufariki akiwa amelazwa nje ya nchi ya Uganda (southafrica) leo mwili wake umepokelewa kwa machozi na huzuni na watu wa rika tofauti huku mpenzi wake Zari akiwepo katika kuaga mwili wa mpenzi wake wa zamani
Zari amesema atakuwepo pamoja na diamond mpenzi wake wa sasa katika mazishi ya kuuwaga mwili wa Ivan TheDon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…