macho manne
Senior Member
- Jan 10, 2017
- 102
- 47
Nawaonea huruma watoto wake kuishi bila baba yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ngoja nifatilie ya mchanga wetu uliokua unatoroshwa na mali zetuNaona mnawafuatilia kweli kweli!
Naona mnawafuatilia kweli kweli!
Nimerudi kukuchukua na wewe twende wote.Halafu wewe Sky Eclat si ulituaga unaondoka mbona tunakuona humu jukwaani uki like na kuchangia mijadala?
Unakipimo cha kupima huzuni za watu au unaleta mambo ya KIU.Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Hheeeeheeeee kumbe hebu test nawe uageNahisi kama vile hao wanaoagaga huwa wanataka tu kubembelezwa ili labda waone wanapendwa kiasi gani humu😀.
Sijasema 'najua'.
Nimesema 'naona'.
Kuna tofauti kubwa kati ya 'kuona' na 'kujua'.
Muwage mnasoma na kuelewa kwanza....
Alokwambua Ivan Ni mwislamu nani!?hata zari Mwenyewe pia sio mwislamu maybe kama kabadilishwa na mondi majina yasikuchanfanye..Si ni mwisilamu mbona jeneza tena
Alikuwa mfanyabiashara..alikuwa na vitega uchumi huko nchini South Africa...Pia alikuwa Socialite mkubwa nchini Uganda...Alisifika kuwa na hela ya kutosha mpaka wakamuita Ivan DonDu iv jamaa alikuwa ana fanya kaz gan mbona watu wengi hivo