Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Alikuwa na pesa za hatari huyu mtu mfanyabiashara
Kama ni mfanyabiashara mkubwa atakuwa muuzaji wa cocaine, ukiwa na pesa kubwa Lazima ujulikane kwa vitega uchumi vinavyozarisha pesa. Kama ilivyo bakhresa anajulikana kwa kuuza unga wa ngano. Sasa yeye aijulikani, Mara mganga wa kienyeji mara ana vyuo. Vitu ambavyo avishabiani na kuwa na pesa nyingi
 
Chibu kafa?daaah ila huyu jamaa yaani pafyumu lake linanuka kama maembe..sijui nani alimchagulia hiyo harufu..yaani bora nijipake maembe
Pafyumu harufu ya embe?'kwani imekua juisi?'siku ya msiba na bibie atadai mapato yake ndo utablow.
**ila mama mkwe kapinda atamtoa mkuku, labda amtangulize yeye kwanza ndo itakua salama yake.
 
Haaaa kweli kabsa
 
Pafyumu harufu ya embe?'kwani imekua juisi?'siku ya msiba na bibie atadai mapato yake ndo utablow.
**ila mama mkwe kapinda atamtoa mkuku, labda amtangulize yeye kwanza ndo itakua salama yake.
hawez fanya hivo mama chibu..na hata akifanya hivo hatofanikiwa.sheria ndo inachukua nafasi na zari sio mwanke mjinga wa kuonewa..always watu wengi wans lawyers wao wanaandika kabisa nikifa mgao utakua hivi na hivi.
labda chibu anaandika madale ataichukua mama..nyumba ya south ataichukua watoto.. ns vingine.

ila zari hajaolewa sidhani kama ataandikwa kama mke..asubir vya watoto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…