rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Zarina Hassan ni jina la kikisto?
Zari ni mkristo pamoja na marehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zarina Hassan ni jina la kikisto?
Kama ni mfanyabiashara mkubwa atakuwa muuzaji wa cocaine, ukiwa na pesa kubwa Lazima ujulikane kwa vitega uchumi vinavyozarisha pesa. Kama ilivyo bakhresa anajulikana kwa kuuza unga wa ngano. Sasa yeye aijulikani, Mara mganga wa kienyeji mara ana vyuo. Vitu ambavyo avishabiani na kuwa na pesa nyingiAlikuwa na pesa za hatari huyu mtu mfanyabiashara
Zarina Hassan ni jina la kikisto?
wewe ni mdini wa hatari!Paul pogba ni mkristo?mbona kaonekama makka anahiji kavaa mishuka ya rangi nyeupe anazurura zurura kwenye msikiti wakati wa kula futari
Muislam zar hasanSi ni mwisilamu mbona jeneza tena
Pafyumu harufu ya embe?'kwani imekua juisi?'siku ya msiba na bibie atadai mapato yake ndo utablow.Chibu kafa?daaah ila huyu jamaa yaani pafyumu lake linanuka kama maembe..sijui nani alimchagulia hiyo harufu..yaani bora nijipake maembe
Umenchekesha mkuu eti wafuasi wa MudiNdo zao hizo yaani hapo wanatamani wamkamue..wafuasi wa mudi bana
Haaaa kweli kabsaHii ni fundisho kwa wanaume tulio mabachela
Ukioa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine jua kitatokea kama kwa Diamond, mke ataenda kumuuguza mzazi mwenzie ataenda kuzika kijijini kwao na atalia kama nini, na vikao vya familia vya mirathi atashiriki, yaani atakuacha umetoa macho hapa jijini kwa mkolomije kama paka miezi 6, mwisho na wewe utajikuta umefata huko kijijini kumsaidia apate urithi [emoji37][emoji37].
Mwisho utasema " bebi tuombe tu, tutapata mgao wetu[emoji23]"
[emoji15] [emoji15] [emoji15] utakufa nacho kijiba cha roho .....malaya lini alikuvulia chupi yakeZari malaya sana hakuna kupewa hata kijiko
"Ukipenda boga penda na maua yake".Sio mchezo diamond sijui ameshadata na wale watoto je
hawez fanya hivo mama chibu..na hata akifanya hivo hatofanikiwa.sheria ndo inachukua nafasi na zari sio mwanke mjinga wa kuonewa..always watu wengi wans lawyers wao wanaandika kabisa nikifa mgao utakua hivi na hivi.Pafyumu harufu ya embe?'kwani imekua juisi?'siku ya msiba na bibie atadai mapato yake ndo utablow.
**ila mama mkwe kapinda atamtoa mkuku, labda amtangulize yeye kwanza ndo itakua salama yake.
Mabwaku...aokoke aje kuzaa tena na mvaa kobazi? Unless humaanishi ulokole nnaoujua mimi.jamani zari alikua muislam akaokoka..ila jina hajabadili