Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Ni mama mtu mzima kabisa hata live...

Hapo live anakuwaga na adabu sana maana anajua umejua uhalisia wake

Akiwa insta na mafilter, weee full vichambooo[emoji848][emoji15][emoji849]
Hahahaha....Haya mambo yenu acha niwapishee[emoji3]
 
Ni mama mtu mzima kabisa hata live...

Hapo live anakuwaga na adabu sana maana anajua umejua uhalisia wake

Akiwa insta na mafilter, weee full vichambooo[emoji848][emoji15][emoji849]
Natamani ni muone live kabisa, Ila sikuhizi hatuchambi Sana wabongo kipindi kile hasira za dai alimalizia watanzania kutuchamba
 
Natamani ni muone live kabisa, Ila sikuhizi hatuchambi Sana wabongo kipindi kile hasira za dai alimalizia watanzania kutuchamba
Aliacha kuchamba coz alijua anakuja huku soon, tutamuona live so alikuwa anatengeneza mazingira
 
Ndio nashangaa anatumia watoto kujirudisha, diamond mwenyewe hayuko happy ni Kama kafosiwa tu mwishowe wamuue kwa pressure za wanawake, na zari na watoto wote hao Nani angemuoa, chance aliyo nayo ni kumganda diamond tu hamna namna hapo. Kuzaa kwa diamond hovyo kumempoteza Hadi nuru usoni huyo diamond, mamake ana weka too much pressure kwenye mahusiano ya mwanawe.
Mimi ctaki mwanaume aliyezaa kuwa naye ni kero tu
Domo kafosiwa hayuko happy kabisa
 
Jamani huyo si kibonge kabisa like big show na anaonekana mama mtu mzima, kweli mitandao si ya kuiamini
Haaahaaaa uwiii eti big show[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
 
Never ever
Zari wa South na bongoland
Screenshot_20201107-140436.jpg
 
Shida huwa editing zao na kufanya wanawake wengine wajione Wana madhaifu ndio maana UK wanakuja na Sheria za Mambo ya editing, maana zinawaathiri wengi kisaikolojia
Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.
 
Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.
Ndio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.
 
Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.
Mfano hii na picha zake very tofauti,
Screenshot_20201107-140544_1604748610601.jpg
 
Back
Top Bottom