Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Mwishowe waje wamuue kwa pressure maana tangu aanze drama na zari kina mobeto Hadi tanasha diamond Hana nuru kabisa usoni, mahusiano huwa ni mwiba mchungu
Umalaya wake umemponza, jitu gani halitaki kustick na mwanamke mmoja[emoji1745]
 
Umalaya wake umemponza, jitu gani halitaki kustick na mwanamke mmoja[emoji1745]
Hawa wanawake watamtanguliza kuzimu asipokuwa makini Bora aachane na wanawake, aisee. Zarina karudi ana agenda yake ya Siri hapo.
 
Ndio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile happy birthday yake ya juzi ile miaka aliyotaja itakuwa ni ya insta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]wa naija wanaita footballer age eti hyo loh. Ila kajitahidi kwa level hyo kuwa na hao watoto yet ku maintain sio mchezo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wa naija wanaita footballer age eti hyo loh. Ila kajitahidi kwa level hyo kuwa na hao watoto yet ku maintain sio mchezo
Kwa hili nakubali [emoji3514][emoji3514]

Kwa kujipenda na kwa umri wake namkubali sana

Tatizo nyoodoo[emoji57]
 
Ndio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.
Ni kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuri
 
Ni kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuri
Na ametupa Cha kuongea maisha yalikuwa Yana bore sana
 
Anapenda umaarufu Sana dada yetu, jinsi alivomwacha dai kwa ua jeusi, hakika nimejifunza maisha haya ni muhimu kuwa na akiba ya maneno
Hadi BBC mweeh[emoji848][emoji849]
 
Kampa kiki au wamepeana. Diamond kafanya mangapi na hamna hata aliyekua na time naye. Check alivyokuja zari kila kona ni wao tu. Wale nyota zao zinang'aa wakiwa pamoja. Habari ndio hiyo
Mambo yapi ambayo diamond kafanya alafu kukawa Hakuna time nae?
 
Back
Top Bottom