Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
cariha me huo upuuzi sifanyi ndio maana sipendi kuwa na uhusiano na wanawake waliozalishwa me nimejiuliza kimya kimya hivi mondi angekuwa na girlfriend huyo Zari angeenda home kwa mondi au angekuja na watoto? me nazani kuja Jambo Zari amedhamilia anaona hii ndio chance ya pekee kabisa lazima aitumie vizuri ili kuwin moyo wa diamond
 
Ndio nashangaa anatumia watoto kujirudisha, diamond mwenyewe hayuko happy ni Kama kafosiwa tu mwishowe wamuue kwa pressure za wanawake, na zari na watoto wote hao Nani angemuoa, chance aliyo nayo ni kumganda diamond tu hamna namna hapo. Kuzaa kwa diamond hovyo kumempoteza Hadi nuru usoni huyo diamond, mamake ana weka too much pressure kwenye mahusiano ya mwanawe.
Mimi ctaki mwanaume aliyezaa kuwa naye ni kero tu
 
Pole unaongea kwa uchungu sana[emoji23][emoji23][emoji23], ndo maisha , aliyepewa kapewa
 
Lila mtu ana fungu lake duniani mkuu Mimi siwezi kuua mtu kuzaa na flani maana Ni choice na Mimi naweza pia
 
Ndio nashangaa anatumia watoto kujirudisha, diamond mwenyewe hayuko happy ni Kama kafosiwa tu mwishowe wamuue kwa pressure za wanawake, na zari na watoto wote hao Nani angemuoa, chance aliyo nayo ni kumganda diamond tu hamna namna hapo. Kuzaa kwa diamond hovyo kumempoteza Hadi nuru usoni huyo diamond, mamake ana weka too much pressure kwenye mahusiano ya mwanawe.
Mimi ctaki mwanaume aliyezaa kuwa naye ni kero tu
Bora waoane wenyewe kwa wenyewe hapo angalau yaani mwenye mtoto na mwenye mtoto ila sio me Sina mtoto eti nioe mwenye watoto hapana aiseee mambo yakupasha viporo sitaki aisee
 
Hiyo ndo solution tu pekee Kwanza waliozaa bado Wana machungu yao so Lila mtu akiwa na watoto aliozaa before hapo mtaendana tu
 
Jamani huyo si kibonge kabisa like big show na anaonekana mama mtu mzima, kweli mitandao si ya kuiamini
Ni mama mtu mzima kabisa hata live...

Hapo live anakuwaga na adabu sana maana anajua tumejua uhalisia wake

Akiwa insta na mafilter, weee full vichambooo[emoji848][emoji15][emoji849]
 
Back
Top Bottom