Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Ndo maana anajistukia!

Yaan ye mgeni lkn anaongea kuliko wenyeji[emoji848]

Limkono sasa![emoji15] Ile shape hata nayo haionekani yaan ni kaumuka balaa

Halafu mbona domo hana raha kabisa!?

Huu ugeni aliubariki kweli? Au ni ma dangote katuma nauli? Hana raha kabisa jamaa kama kafosiwa hivi

Relax basi , Zari anatambulishwa openly wazi wazi hafichwi , Zari anapendwa bhana
 
Wabongo wameacha kazi zao Na kwenda kuwapokea [emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]
 
Sijui ni akili yangu ama?? Naona zari hajakosea kuwaleta watt wake kwa baba yao. Na huwez kuwaleta nikaondoka ama ukawa hotelin ikiwa wanakuja kwa baba yao. No ngumu sana kumleta mtt kwa baba day utakaa hotelin wakati nyumban wapo where they can feel comfortable and have their freedom. WAtu wanadhani anatafuta kuongelewa vipu kwan tika aachane na chibu hajaishi maisha bora zaidi?
Na mimi sijui ni akili yangu tu ama; hivi co-parenting ya style hii ina-apply hata kwa wazazi wenza ambao wameshaoa/kuolewa kwingine? Nime-imagine Zari ameolewa afu anamuaga mumewe anawaleta watoto kwa baba yao na watafikia tu home kwa sababu watakuwa comfortable. And as usual watacreate memories kwa ajili ya watoto pamoja, going out as a family etc, mumewe angemkubalia au yeye kama mke wa mtu angeweza kufanya hivyo?

Au ndiyo Dai anamuaga mkewe anaenda South kwa watoto na atafikia tu home haina shida, mke angeelewa? Au Dai angekuwa ameoa, Zari angefikia kwa Bi Sandra au wapi?

Nakumbuka juzi kwenye interview Zari alisema, they are just co-parenting so ataendelea kuwaleta tu watoto hata kama Dai atakuwa na mwenza. At the same time nikakumbuka ile interview ya Dai, alikuw anacomplain like kila alipokuwa anamwambia Zari awatume watoto, Zari alikuwa anang'ang'ania aje na watoto na wakati yeye asingeweza kumruhusu aje ilhali alikuwa na Tanasha (ila Dai mmmmh). Huko mbeleni mmoja wapo atakapokuwa na serious relationship (especially Dai), tutajionea.

All in all nafikiri hiki ni kitu kizuri sana kwa watoto, bonding with both of their parents. Ila kwa wazazi wenza wenye familia sasa, tena huku kwetu Afrika mmmmmh
 
Kuna mmoja anaforce king hapo
 
Umeona dai alivyo busy na tiffa tu [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy
 
Mbona domo hachangamkii, hili ndo swali langu

Video zote dai yuko kama kafosiwa hivi, au hili hulioni my?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Unatafuta binamu warumi akuchambe tu hapa

Afu wababa wengi ndivyo walivyo na mabinti zao
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy
 
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy

Ahahah siku wakichambana tutajua yotee
Wanachelewa basi
 
Jitahidi uende mlimani city pale hakosi utajionea mwenyewe, kipindi cha gsmall alivyokuja nilichoka, nikasema ndo huyu wa mitandaoni!

Ni mfupi, usoni anajitandika heavy bright makeup, halafu live anakosa confo kabisa full heshima [emoji16][emoji16], kamkute mitandaoni sasa full kutuchamba kuwa sisi ni vilaza[emoji848][emoji849]
Hawa mastaa hufanya watu wasijiamini wajione walikosewa kuzaliwa kumbe full editing na watu wabonge kabisa
 
Na mimi sijui ni akili yangu tu ama; hivi co-parenting ya style hii ina-apply hata kwa wazazi wenza ambao wameshaoa/kuolewa kwingine? Nime-imagine Zari ameolewa afu anamuaga mumewe anawaleta watoto kwa baba yao na watafikia tu home kwa sababu watakuwa comfortable. And as usual watacreate memories kwa ajili ya watoto pamoja, going out as a family etc, mumewe angemkubalia au yeye kama mke wa mtu angeweza kufanya hivyo?

Au ndiyo Dai anamuaga mkewe anaenda South kwa watoto na atafikia tu home haina shida, mke angeelewa? Au Dai angekuwa ameoa, Zari angefikia kwa Bi Sandra au wapi?

Nakumbuka juzi kwenye interview Zari alisema, they are just co-parenting so ataendelea kuwaleta tu watoto hata kama Dai atakuwa na mwenza. At the same time nikakumbuka ile interview ya Dai, alikuw anacomplain like kila alipokuwa anamwambia Zari awatume watoto, Zari alikuwa anang'ang'ania aje na watoto na wakati yeye asingeweza kumruhusu aje ilhali alikuwa na Tanasha (ila Dai mmmmh). Huko mbeleni mmoja wapo atakapokuwa na serious relationship (especially Dai), tutajionea.

All in all nafikiri hiki ni kitu kizuri sana kwa watoto, bonding with both of their parents. Ila kwa wazazi wenza wenye familia sasa, tena huku kwetu Afrika mmmmmh
Watoto wakikua watakua wanakuja wenyewe
 
Hawa mastaa hufanya watu wasijiamini wajione walikosewa kuzaliwa kumbe full editing na watu wabonge kabisa
15291719-9748-41F5-AF34-117DE30C3EA2.jpeg
C5E85AA9-67DA-4CB7-8E42-7A3F5425BB41.jpeg
 
Na mimi sijui ni akili yangu tu ama; hivi co-parenting ya style hii ina-apply hata kwa wazazi wenza ambao wameshaoa/kuolewa kwingine? Nime-imagine Zari ameolewa afu anamuaga mumewe anawaleta watoto kwa baba yao na watafikia tu home kwa sababu watakuwa comfortable. And as usual watacreate memories kwa ajili ya watoto pamoja, going out as a family etc, mumewe angemkubalia au yeye kama mke wa mtu angeweza kufanya hivyo?

Au ndiyo Dai anamuaga mkewe anaenda South kwa watoto na atafikia tu home haina shida, mke angeelewa? Au Dai angekuwa ameoa, Zari angefikia kwa Bi Sandra au wapi?

Nakumbuka juzi kwenye interview Zari alisema, they are just co-parenting so ataendelea kuwaleta tu watoto hata kama Dai atakuwa na mwenza. At the same time nikakumbuka ile interview ya Dai, alikuw anacomplain like kila alipokuwa anamwambia Zari awatume watoto, Zari alikuwa anang'ang'ania aje na watoto na wakati yeye asingeweza kumruhusu aje ilhali alikuwa na Tanasha (ila Dai mmmmh). Huko mbeleni mmoja wapo atakapokuwa na serious relationship (especially Dai), tutajionea.

All in all nafikiri hiki ni kitu kizuri sana kwa watoto, bonding with both of their parents. Ila kwa wazazi wenza wenye familia sasa, tena huku kwetu Afrika mmmmmh
Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
 
Ndo maana anajistukia!

Yaan ye mgeni lkn anaongea kuliko wenyeji[emoji848]

Limkono sasa![emoji15] Ile shape hata nayo haionekani yaan ni kaumuka balaa

Halafu mbona domo hana raha kabisa!?

Huu ugeni Dai aliubariki kweli? Au ni ma dangote katuma nauli? Hana raha kabisa jamaa kama kafosiwa hivi
Kumbe wew hadi huku upo mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom