Duh!Daaah!! Umenifungua akili sana, wewe Dada, ni kadogo lkn kameingia uzuri, unatumia kinywaji gani tafadhali chukua hapo kwa Mpemba...
Nina ma x- wawili wote wana mtoto mmoja mmoja lkn hawajazaa huko walikoenda, ni matasa, sasa naona wanatumia watoto kutaka kuja!!! mmoja kanipa na hela kabisaaa tena nyingi tu!!!