Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Hahahaha....Haya mambo yenu acha niwapishee[emoji3]Ni mama mtu mzima kabisa hata live...
Hapo live anakuwaga na adabu sana maana anajua umejua uhalisia wake
Akiwa insta na mafilter, weee full vichambooo[emoji848][emoji15][emoji849]
Natamani ni muone live kabisa, Ila sikuhizi hatuchambi Sana wabongo kipindi kile hasira za dai alimalizia watanzania kutuchambaNi mama mtu mzima kabisa hata live...
Hapo live anakuwaga na adabu sana maana anajua umejua uhalisia wake
Akiwa insta na mafilter, weee full vichambooo[emoji848][emoji15][emoji849]
Aliacha kuchamba coz alijua anakuja huku soon, tutamuona live so alikuwa anatengeneza mazingiraNatamani ni muone live kabisa, Ila sikuhizi hatuchambi Sana wabongo kipindi kile hasira za dai alimalizia watanzania kutuchamba
Haa haaHahahaha....Haya mambo yenu acha niwapishee[emoji3]
Mwanamke umbea kusutwa sunna[emoji108][emoji108]Kumbe huku ndo hobby yako, mambo ya udakuz na u celebratizzz [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mjanja hvoAliacha kuchamba coz alijua anakuja huku soon, tutamuona live so alikuwa anatengeneza mazingira
[emoji3][emoji3][emoji3] Huogopi.Mwanamke umbea kusutwa sunna[emoji108][emoji108]
Domo kafosiwa hayuko happy kabisaNdio nashangaa anatumia watoto kujirudisha, diamond mwenyewe hayuko happy ni Kama kafosiwa tu mwishowe wamuue kwa pressure za wanawake, na zari na watoto wote hao Nani angemuoa, chance aliyo nayo ni kumganda diamond tu hamna namna hapo. Kuzaa kwa diamond hovyo kumempoteza Hadi nuru usoni huyo diamond, mamake ana weka too much pressure kwenye mahusiano ya mwanawe.
Mimi ctaki mwanaume aliyezaa kuwa naye ni kero tu
Mwishowe waje wamuue kwa pressure maana tangu aanze drama na zari kina mobeto Hadi tanasha diamond Hana nuru kabisa usoni, mahusiano huwa ni mwiba mchunguDomo kafosiwa hayuko happy kabisa
Haaahaaaa uwiii eti big show[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]Jamani huyo si kibonge kabisa like big show na anaonekana mama mtu mzima, kweli mitandao si ya kuiamini
Never everPicha akiwa south huwezi ona haya
Shida huwa editing zao na kufanya wanawake wengine wajione Wana madhaifu ndio maana UK wanakuja na Sheria za Mambo ya editing, maana zinawaathiri wengi kisaikolojiaHaaahaaaa uwiii eti big show[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Zari wa South na bongolandNever ever
Binamu una uhakika domo karudiana na zari?Kwetu sisi ni raha tu full champagne [emoji1635]
Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.Shida huwa editing zao na kufanya wanawake wengine wajione Wana madhaifu ndio maana UK wanakuja na Sheria za Mambo ya editing, maana zinawaathiri wengi kisaikolojia
Ndio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.
Aaah yuko vizuri upstairs [emoji122][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ni mjanja hvo
Aaah nimezoea kusutwa mpaka nimekuwa sugu sasa[emoji28][emoji28][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3] Huogopi.
Mfano hii na picha zake very tofauti,Hamna celebrity asiyejiedit. Sio bongo tu hata huko kwa kina kim kardashian. Ndio maana unatakiwa ujikubali vile ulivyo sio kutaman alivyo mwingine.