Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania


Relax basi , Zari anatambulishwa openly wazi wazi hafichwi , Zari anapendwa bhana
 
Wabongo wameacha kazi zao Na kwenda kuwapokea [emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]
 
Na mimi sijui ni akili yangu tu ama; hivi co-parenting ya style hii ina-apply hata kwa wazazi wenza ambao wameshaoa/kuolewa kwingine? Nime-imagine Zari ameolewa afu anamuaga mumewe anawaleta watoto kwa baba yao na watafikia tu home kwa sababu watakuwa comfortable. And as usual watacreate memories kwa ajili ya watoto pamoja, going out as a family etc, mumewe angemkubalia au yeye kama mke wa mtu angeweza kufanya hivyo?

Au ndiyo Dai anamuaga mkewe anaenda South kwa watoto na atafikia tu home haina shida, mke angeelewa? Au Dai angekuwa ameoa, Zari angefikia kwa Bi Sandra au wapi?

Nakumbuka juzi kwenye interview Zari alisema, they are just co-parenting so ataendelea kuwaleta tu watoto hata kama Dai atakuwa na mwenza. At the same time nikakumbuka ile interview ya Dai, alikuw anacomplain like kila alipokuwa anamwambia Zari awatume watoto, Zari alikuwa anang'ang'ania aje na watoto na wakati yeye asingeweza kumruhusu aje ilhali alikuwa na Tanasha (ila Dai mmmmh). Huko mbeleni mmoja wapo atakapokuwa na serious relationship (especially Dai), tutajionea.

All in all nafikiri hiki ni kitu kizuri sana kwa watoto, bonding with both of their parents. Ila kwa wazazi wenza wenye familia sasa, tena huku kwetu Afrika mmmmmh
 
Kuna mmoja anaforce king hapo
 
Umeona dai alivyo busy na tiffa tu [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy
 
Mbona domo hachangamkii, hili ndo swali langu

Video zote dai yuko kama kafosiwa hivi, au hili hulioni my?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Unatafuta binamu warumi akuchambe tu hapa

Afu wababa wengi ndivyo walivyo na mabinti zao
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy
 
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy

Ahahah siku wakichambana tutajua yotee
Wanachelewa basi
 
Hawa mastaa hufanya watu wasijiamini wajione walikosewa kuzaliwa kumbe full editing na watu wabonge kabisa
 
Watoto wakikua watakua wanakuja wenyewe
 
Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
 
Kumbe wew hadi huku upo mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…