Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Bonge LA kiki, ndio mana katoa nyimbo, juzi, na nyimbo yenyewe MBOVU MBAYA KABISA..kwa hyo diamond kutembelewa na familia Yale ni kufanya kiki..,.?
Afu nan kakwambia Diamond hafanyi kazi...?,🚶🚶🚶🚶