Ingekuwa yake kawekeza sawa
Hapo kasaidia jina tu kama kaweka basi ni muda wake wa kutangaza na jina lake kutumika.
Ila biashara ya rangi za lipu sitiki ,ilianza hata wiki haikufika bei ikawa nusu labda sasa hivi imeshuka tena wateja hakuna hana mvuti wa kuuza jina lake
Pole kwa aliyewekesha lazima anajuta maana walifikiri elfu 40 kwa moja zitamaluzwa ndani ya siku kumbe ikawa ndoto ambayo hawakuamini macho.
Nyumba ya kypanga labda anadaiwa hata malipo ya nyumba
Idria atauza mjengo wake kumkombia au ataamia kwake