Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wema kakutwa kajiungia umeme kwa nia ya kukwepa kulipa malipo halali,natumia fursa hii kumuomba zari amsaidie wema kulipia bili amgalau miezi mitatu ili wema asherwkee sikukuu kwenye mwanga sio Giza,nawasilisha
We mwenyewe unawasha kibatali mbona umwambii Zari akusaidie mafuta ya taa?
Bongo raha.
Biashara ya 700M. Unashindwa kulipa umeme wa nyumbani
Ingekuwa yake kawekeza sawa
Hapo kasaidia jina tu kama kaweka basi ni muda wake wa kutangaza na jina lake kutumika.
Ila biashara ya rangi za lipu sitiki ,ilianza hata wiki haikufika bei ikawa nusu labda sasa hivi imeshuka tena wateja hakuna hana mvuti wa kuuza jina lake
Pole kwa aliyewekesha lazima anajuta maana walifikiri elfu 40 kwa moja zitamaluzwa ndani ya siku kumbe ikawa ndoto ambayo hawakuamini macho.
Nyumba ya kypanga labda anadaiwa hata malipo ya nyumba
Idria atauza mjengo wake kumkombia au ataamia kwake