Nashukuru kwa taarifa ndg yangu, na mie nampotezea mazimaa! kumbe napoteza muda wangu na boya!!!
usinichagulie life style mkuu, u have no such a right, I do what I feel, what I want any time any place, what u call shit I call them fun!! it's a free country, live ur own
Achana na huyo bumunda kwanza hizi habari za mujini atazijulia wapi?
Mwenyewe yuko kimbiji huko.
Kanikera sana kiukweli maana hii tabia yake inanikera kujitia mjuaji wakati hakuna kitu.
Achana na huyo bumunda kwanza hizi habari za mujini atazijulia wapi?
Mwenyewe yuko kimbiji huko.
Kanikera sana kiukweli maana hii tabia yake inanikera kujitia mjuaji wakati hakuna kitu.
Aisee,hivi wote wanaosjabikia EPL wanatakiwa waishi England??
Relax, usitumie hata nguvu kujibizana na marobot humu!!usinichagulie life style mkuu, u have no such a right, I do what I feel, what I want any time any place, what u call shit I call them fun!! it's a free country, live ur own
Huwezi kumfananisha shabiki wa EPL anayeona mambo live na sisi tunaoona kupitia medias.
Habari nyingi za kwenye media zinakua zimeongezwa chumvi kuliko uhalisia, upo?
Kwa hiyo mimi nikiangalia super sport game ya man vs chelsea nikiwa huku kwenye vibanda umiza Namtumbo na mtu aliyeko OT ni tofauti!!!
Hizo za kukaa Dar ndo kujua kila kitu hizo ni story za zamani!!
Mtu wa kahama anaweza kuwa na info nyingi kuhusu celebrity wa dar kuliko mtu wa magomeni!!
Ama kweli wewe ni kiazi.Kama ungekua na akili ungeweza kujua ile tofauti niliyokuambia tokea mwanzo.
Huyo mtu wa kahama atakua anajua habari nyingi sikatai, ila unaweza kumfananisha na mtu anayeona live?
Hivi kusikia na kuona kipi bora?
Ngoja tujadili tu ingawa ni out of topic.
Hivi ule udhalilishwaji aliofanyiwa boateng na messi pale camp nou ,waliokuwa live pale na sisi tuliocheki via TV ulikua tofauti??
Au wanaokaa karibu na mahakama ndo wanajua sheria zaidi??
Inawezekana hata Lukelo sakafu anajua habari/mambo mengi ya Ally Kiba kuliko hata Jirani na Kiba inategemea tu na interest ya mtu!!
Kuna wengine wanakaa huko huko Dar ila huyo Diamond/Zari hawajawahi kuwaona!!
Lisemwalo lipo kama halipo basi laja only time will tell us.
Huna hoja wewe umeanza kuleta out of topic. Hapa tunaongelea habari za Katunzi na Zari wewe unaleta mambo ya Messi na Boateng..
Kwaheri.
Lisemwalo lipo kama halipo basi laja only time will tell us.
Umeona eeh? Kitakachokata mzizi wa fitna ni DNA taste tu.
Sasa hivi acha tubashiri tu.
Mengine hayaji!! Yanga walisema watawatoa Etoil du sahel hata haikuja tokea!!
Inawezekana papaa alikuwa anapiga mzigo kitambo, so now sio big issues.
Ingeekuwa sahizi bado anakutana nae mixer like kibend ndo ingekuwa news!,
Lakini tunatakiwa kujua chanzo cha hiyo habari sio Daily news au The citizen
Sasa Yanga na Etoil na hii habari mbona ni vitu viwili tofauti kabisa na hii habari ya Daimond Zari na Katunzi havi relate wala Ku make sense mana hizi ni rumours hajizawa proved na yoyote ingawa sources inaweza isiwe daily news or even Guardian to me time is the best judgement mengine ni blah blah tu.