mito hii issue ni kubwa na wambea tunasubiri mtoto azaliwe tu.Nimewahi kusikia Zari aliwahi kucomment kwa shoga yake Huddah huko insta kua kuna mjinga anadanganywa hiyo mimba ni yake.......
Na tusubiri tuone.
Karibu tena.
Very true mda ndo best judge kuonyesha mbichi na mbivu na hivi siku hizi kuna DNA wala haisumbui unacheki faster kuelewa ukweli.
KAtunzi, kaka ake warumi,hahaha sitaki mie
Umeona eeh? Kama kijacho sio cha mondi tutajua tu.Maana kuchapiwa ni siri ya ndani ila si unamjua mondi na ule mdomo wake? Hanaga siri.
Wala .Kitakachonikaribisha ni ukileta ujuaji wako na kimbelembele.
Huyo Katunzi anajishughulisha na nini?
Hahahahaaa! Unakumbuka ulivyoturushaga roho na huyo Katunzi wako?
Cha ajabu ni nini ht mke wa huyo mtoa habari au girlfriend kabla ya yeye kulikuwa mtu anakula, so sioni ajabu
mito hii issue ni kubwa na wambea tunasubiri mtoto azaliwe tu.Nimewahi kusikia Zari aliwahi kucomment kwa shoga yake Huddah huko insta kua kuna mjinga anadanganywa hiyo mimba ni yake.......
Na tusubiri tuone.
huyo katunzi anajishughulisha na nini?