BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Inasikitisha saaana! Huwez kusimama mwenyewe dadang?Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha saaana! Huwez kusimama mwenyewe dadang?Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Hehehehe sasa ndo hapo unaona utofauti , Wewe unasubiri mpaka urithi( unamuombea jamaa kifo) lkn pia kitendo chakusubiri Urithi ndio upate nguvu ya kutoa kauli kama iyo ,pia inaonyesha utofauti mkubwa ulopo....kwanza uyo G akisoma hayo maandishi anajisikiaje??? Mmmhhh mbona kama naona harufu ya mtu kujibebisha tu na kivuli ..( natania)[emoji6]Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Siku zari akisimama mwenyewe nami nitasimama mwenyeweInasikitisha saaana! Huwez kusimama mwenyewe dadang?
Mme wangu hafi tena nishaanza kurirthishwa hata kabla hajafa kwa taarifa tu niwapeHehehehe sasa ndo hapo unaona utofauti , Wewe unasubiri mpaka urithi( unamuombea jamaa kifo) lkn pia kitendo chakusubiri Urithi ndio upate nguvu ya kutoa kauli kama iyo ,pia inaonyesha utofauti mkubwa ulopo....kwanza uyo G akisoma hayo maandishi anajisikiaje??? Mmmhhh mbona kama naona harufu ya mtu kujibebisha tu na kivuli ..( natania)[emoji6]
Ukiwa makini Kwa kila kitu bila kujalishauchumi wako lazima utakua na Mawazo huru sana kama ilivo kwa Zary
Ukweli nikwamba, alichozungumza Zary kitawaudhi sana nakuumiza sio kidogo , nakatika kujifariji wengi mtasema **Bila ivan ,asingekua ivo** .....lkn ukumbuke Zarieth kwakua kwake social celeb ndiko kulikopelekea tajiri ivan amuone !!! .
Kwamfano, ukiangalia madem wote wa diamond ,utagundua wote wanaumaarufu wao pemben ..you see???
Samahan kwa gazeti ila ndo ukweli huo dear[emoji23]
Umesema kweli kabisaaa hata klyn bila meng hakuna kituAsilimia 90 ya wanawake wanafanikiwa kimaisha kupitia miili yao
Mama Sabrina ,umemsikia mwanamke makini mwenyr umakini kuanzia kichwan,uson,kiunon,makalio,miguu, mpaka kucha?? Umemsikia???[emoji23]
NakunyaaaaaaaaaaaaMama sabrina anakojoa sasa hivi
Kwani yeye amefikaje hapo alipo?
Kwamba ni Kwa juhudi zake mwenyewe au urithi wa mali za Mume wake the late Ivan?
Manake mali za urithi Mtu hupaswi kutamba nazo !
Siku zari akisimama mwenyewe nami nitasimama mwenyewe
Mme wangu hafi tena nishaanza kurirthishwa hata kabla hajafa kwa taarifa tu niwape
Hakuna mali ya zari hapo karithishwa tu ,ali za dhulma na utapeli bora hata mme wangu ni za halali
Umesema kweli kabisaaa hata klyn bila meng hakuna kitu
Nakunyaaaaaaaaaaaa
Kipi chake alichofanikiwaa
basi hata mi G ananirithisha mali zake nami bosslady
Hata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Hakuna zari anachomili hapo kakifanikisha ni mali za ivan,hata mi mme wangu sio maskini ntamzalia wawili narithi mpoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawanyeaaa mbwaaa nyie
Na bado hakuna alichoendeleza vyake vilikufa kwa kudaiwa kodi
Asee...Bila Ivan ungekuwa huna kituuu hata mi Za G nazimiliki basi na boss lady
Oooh safiUr wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.
Sio kweliAsilimia 90 ya wanawake wanafanikiwa kimaisha kupitia miili yao
Hata kiswahili Mgogoro (Tafadhali inaitwa)Kiingereza kinanipiga chenga, naomba tafsiri ya kiswahili tafadhari.
Umepinda mtoto wa kisomaliHata mi ntarithi za G na nitawaandikia hivyoo msijalii,mme wangu nae ni don tuu wala msijali ,hii miezi nambebeaa mimba
Not only hoping. Praying, expecting and demanding a big chunk of that cash to be transmitted without delays. Hii ni opposite ya enzi za barter trade. Hapa ni "Nipe nikupe cash".You do not sleep with a successful or rich man (or woman!) hoping that some of his cash, or prosperity will be forwarded to you.Simple and clear.
ExactlyUr wrong my dear,they started from nothing to something,hakuenda kwa ivan kwa ajili ya pesa walizitafuta wote,hapa ndo ule msemo ili ufanikiwe unahitaji mwanamke mzuri upstairs.